30 Januari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Januari}}
== Matukio ==
* [[1592]] - [[Uchaguzi]] wa [[Papa Klementi VIII]]
* [[1933]] - [[Adolf Hitler]] aliteuliwaanateuliwa kuwa [[Chansella]] wa [[Ujerumani]].
* [[1948]] - [[Mahatma Gandhi]] anauawa na [[Mhindu]] mkalimwenye [[itikadi kali]] anayechukia [[jitihada]] za Ghandi za kutunza [[umoja]] wa [[Uhindi]] na kutetea [[haki]] kwaza ajili yaWahindi [[Waislamu]] Wahindi.
 
== Waliozaliwa ==
* [[1882]] - [[Franklin D. Roosevelt]], [[Rais]] wa [[Marekani]] ([[1933]]-45[[1945]])
* [[1899]] - [[Max Theiler]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1951]])
* [[1912]] - [[Horst Matthai Quelle]], [[mwanafalsafa]] kutoka [[Ujerumani]]
* [[1929]] - [[Isamu Akasaki]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[2013]]
* [[1949]] - [[Peter Agre]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[2003]]
* [[1961]] - [[Liu Gang]], [[mwanasayansi]] [[Marekani|Mmarekani]] kutoka [[Uchina]]
 
== Waliofariki ==
* [[1640]] - [[Mtakatifu]] [[Yasinta Marescotti]], mmonaki[[bikira]] wa [[Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko]] kutoka [[Italia]]
* [[1867]] - [[Komei]], [[Mfalme Mkuu]] wa 121 wa [[Japani]] ([[1846]]-[[1867]])
* [[1928]] - [[Johannes Fibiger]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1926]])
* [[1948]] - [[Mahatma Gandhi]], [[mwanasheria]], mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini [[Uhindi]]
* [[1991]] - [[John Bardeen]], (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] miaka ya [[1956]] na [[1972]])
* [[2009]] - [[Chedieli Yohane Mgonja]], [[mwanasiasa]] wa Tanzania
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/january/30 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Jan&day=30 On This Day in Canada]
 
{{mbegu-historia}}
{{DEFAULTSORT:Januari 30}}
[[Jamii:Januari]]