Kifupi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Laser Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Kifupisho''' au '''Kifupi''' ni njia ya kutaja au kuandika [[neno]] kwa namna fupi kuliko kawaida.
Watu hutumia kifupi mara nyingi wakiandika neno au kundi la maneno fulani mara nyingi. Hasa pale
Vifupisho vimekuwa pia kawaida kutaja vitengo vya [[serikali]] kama "[[JKT]]" ([[jeshi]] la kujenga [[taifa]]),
Vifupisho vya pekee huitwa pia akronimi: ni maneno ambayo yameunganishwa kwa [[herufi]] za kwanza za maneno mengine. Mifano yake ni [[UKIMWI]] (='''U'''haba wa '''KI'''nga '''MWI'''lini) au [[Laser]] (= Laser - '''L'''ight '''A'''mplification through '''S'''timulated '''E'''lectron '''R'''adiation).
Vifupisho
Mifano yake ni [[tafsiri]] ya FFU (kikosi cha [[polisi]] ya [[Tanzania]] cha kukandamiza [[ghasia]]) kama "Fanya Fujo Uone" au ya CCM (chama tawala cha miaka mingi
== Vifupisho katika kamusi ==
Line 14 ⟶ 17:
* ele - elekezi
* fiz - fizikia
* kb -
* kd - kidini
* kem - kemia
Line 36 ⟶ 39:
* taz. - tazama
== Vifupi vya
* CCM - [[Chama cha Mapinduzi]]
* KANU - [[Kenya African National Union|Kenya African National Unioon]]
Line 42 ⟶ 45:
* GSU - [[General Service Unit (Kenya)]]
▲Vifupisho vintaumiwa mara nyingi kwa kubadilisha maana asilia kwa kusidi la kutania au kufanya jambo linalijadiliwa kuonekana kama kichekesho.
▲Mifano yake ni tafsiri ya FFU (kikosi cha polisi ya Tanzania cha kukandamiza ghasia) kama "Fanya Fujo Uone" au ya CCM (chama tawala cha miaka mingi ncini Tanzania) kama "Chukua Chako Mapema".
▲== Viungo vya Nje ==
* [http://www.acronymfinder.com Acronym Finder] - largest acronym site with many ways to search for acronyms and abbreviations in many languages. Over 10 year history.
* [http://www.all-acronyms.com All Acronyms] - a website with a large number of abbreviations and acronyms
|