16 Januari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Januari}}
Tarehe '''16 Januari''' ni [[siku]] ya [[kumi na sita]] ya [[mwaka]]
 
== Matukio ==
* [[27 KK]] - [[Octavianus]], mshindi wa [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]], anatangazwa na [[senati]] ya [[Roma]] ''Augustus'' - ndio mwisho wa [[Jamhuri ya Roma]]
Line 11 ⟶ 13:
* [[1220]] - Watakatifu [[Berardo mfiadini]] na wenzake 4 wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Italia]], [[Kifodini|waliofia dini]] nchini [[Moroko]]
* [[1710]] - [[Higashiyama]], [[Mfalme Mkuu]] wa 113 wa [[Japani]] ([[1687]]-[[1709]])
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Papa Marcellus I]], ya watakatifu [[Berardo mfiadini]] na wenzake na ya mtakatifu [[Josef Vaz]], [[padri]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|January 16|16 Januari}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/january/16 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=Jan&day=16 On This Day in Canada]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Januari 16}}
[[Jamii:Januari]]