Namba kivunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Namba kivunge''' (kwa [[Kiingereza]] ''composite number'') ni [[namba asilia]] inayopatikana kwa kuzidisha [[namba tasa]] (''prime numbers'').
 
Kwa mfano [[namba]] ''9'' inapatikana kwa kuzidisha ''3'' kwa ''3''. Namba ''12'' inapatikana kwa kuzidisha ''3'', ''2'' na ''2''.