Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Beseni: nyongeza
Mstari 19:
Kwa mfano mito ya [[Ubangi (mto|Ubangi]] na [[Kongo (mto)|Kongo]] zinakutana kwa mji wa [[Mbandaka]]. Hapa Kongo ni mto mkubwa kushinda Ubangi; pia baada ya Mbandaka kuelekea bahari mto unaendelea kuitwa "Kongo".
 
Wakati mwingine ni swali la uzoefu tu jinsi ya kutaja mto; Kongo inaitwa [[Lualaba]] hadi mji wa [[Kisangani]]. Wataalamu wengine wanasema ya kwamba mto [[Kagera (mto|Kagera]] ingestahili kuitwa "Nile" kwa sababu ni mto uleule unapita tu kwenye ziwa [[Viktoria Nyanza]].
 
Kuna pia uzoefu ambako jina la mto mdogo linaendelea kutumikwa. [[Mto Ruvuma]] unatoka [[Songea]] na kufuata mpaka wa [[Tanzania]] na [[Msumbiji]]. Inakutana na [[mto Lujenda]] ambayo ni mto mkubwa zaidi; inawezekana kusema ya kwamba Ruvuma inaingia Lujenda lakini jina la Ruvuma linatumika hadi mdomoni.
 
Mito midogo zaidi inayojiunga na mto fulani huitwa [[tawimito]].
 
== Beseni ==