Milki ya Osmani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:OttomanEmpireIn1683.png|thumb|right|450px|Milki ya Osmani]]
[[Picha:Gentile Bellini 003.jpg|thumb|right|250px|[[Sultani]] [[Mehmed Fatih]] mshindi wa Konstantinopoli 1453]]
'''Milki ya Osmani''' (pia: '''Ottomani''')<ref>Umbo la jina "Ottomani" linatokana na matamshi ya Kiingereza ya jina "عثمان" "uthman", labda pia kwa kukosea herufi ya Kiarabu "ث th" na "ﺖ t"; kwa hiyo kumtamka mwanzilishi "Otman"; katika lugha za Farsi na Kituruki herufi ya "ث th" ina matamshi ya "s", hivyo "Osmani".</ref> ilikuwa dola kubwa lililotawala upande wa mashariki wa [[Mediteranea]] pamoja na nchi nyingi za [[Mashariki ya Kati]] kwa karne nyingi kati ya [[karne ya 14]] hadi [[1922]].
 
Milki ilianzishwa na Waturuki Waosmani ikachukua nafasi ya [[ukhalifa wa Waabbasi]] na [[Milki ya Bizanti]].