Kairo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 53:
 
Sehemu za [[Bulaq]] ziko leo upande wa kazkazini ya mji mwenyewe zilianzishwa kama eneo la bandari ya mtoni mnamo karne ya 16. Boma la Kairo ([[ar.]] ''qale salah ad din'') inaonyesha mahali ambako mji wa Kairo yenyewe ulianzishwa na [[Wafatimi]]. Upande wa magharibi wa mji wa Kairo uliathiriwa na mpangilio wa jiji wa kimagharibi ukiwa na barabara pana, uwanja mbalimbali na nyumb za kisasa. Upande wa mashariki una zaidi mitaa midogomidogo, nyumba za kienyeji na kujaa watu wengi mno.
 
===Tabianchi ya Kairo===
Kairo iko katika kanda yenye tabianchi nusutropiki. Tabianachi kwa jumla ni [[yabisi]]. Halijti ya wastani mwakani ni [[sentigredi]] 21.7. Kiwango cha mvua ni milimita 24,7 pekee. Mwez mwenye joo zaidi ni Julai mweny wastani wa sentigredi 28, na mwezi baridi ni Januari yenye wastani wa sentigredi 13,9.
 
Usimbishaji ni mdogo; wastani ya mwaka ni milimita 24,7 pekee unaotiririka katika miezi wa Bovemba hadi Machi pekee.
 
Wakati wa Disemba 2013 Kairo iliona [[theluji]] mara ya kwanza baada ya miaka mingi sana.
 
== Tazama pia ==