Kairo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
|picha_ya_nembo =
|ukubwa_ya_nembo =
|pushpin_map = Misri
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Kairo katika Misri
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
Mstari 25:
'''Kairo''' ([[Kar]] القاهرة ''al-Qāhira'' – „mwenye ushindi“) ni [[mji mkuu]] wa [[Misri]] na mji mkubwa wa nchi zote za kiarabu, pia moja kati ya majiji makubwa duniani.
 
Kairo yenyewe inakadiriwa kuwa na wakazi 10,230,350 mjini penyewe<ref>Walikuwa 7,902,085 mwaka 2011 wakati wa sensa, taz. [http://www.citypopulation.de/php/egypt-admin.php?adm1id=01 Al-Qāhirah (Governorate) 2011]</ref>, kanda ya jiji pamoja na mitaa ya nje na mapembizo ni 15,628,325<ref>[http://www.citypopulation.de/php/egypt-greatercairo.php Wakazi wa Kairo Kubwa] walihesabiwa katika sensa ya 2011 kuwa 15,628,325.</ref>.
 
Ndani ya eneo la Kairo ya leo ulikuwepo mji wa [[roma ya Kale|Kiroma]] wa [[Babiloni ya Misri]]. [[Waarabu]] walipovamia Misri mwaka [[641]] walijenga karibu kambi la jeshi lao lililoitwa [[Fustat]]. Fustat ikawa makao makuu ya watawala Waislamu Misri; miji yote miwili ya Babiloni na Fustat zikakua kuwa mji mmoja ulioitwa al-Qāhira (=mji wa ushindi) au Kairo.
 
 
Line 55 ⟶ 53:
 
===Tabianchi ya Kairo===
Kairo iko katika kanda yenye tabianchi nusutropiki. Tabianchi kwa jumla ni [[yabisi]]. Hata hivyo wakati mwingine hewa yenye unyevu inaweza kufika kwa sababu bahari iko karibu. Halijoto ya wastani mwakani ni [[sentigredi]] 21.7. Kiwango cha mvua ni milimita 24,7 pekee. Mwezi mwenye joto zaidi ni [[Julai]] mwenye wastani wa sentigredi 28, na mwezi baridi ni [[Januari]] yenye wastani wa sentigredi 13,9.
 
[[Usimbishaji]] ni mdogo; wastani ya mwaka ni milimita 24,7 pekee unaotiririka katika miezi wa Bovemba hadi Machi pekee.
 
Wakati wa Disemba 2013 Kairo iliona [[theluji]] mara ya kwanza baada ya miaka mingi sana<ref>Samenow, Jason (13 December 2013). "[http://www.washingtonpost.com/blogs/capital-weather-gang/wp/2013/12/13/rare-snow-in-cairo-jerusalem-paralyzed-in-historic-snow/ Biblical snowstorm: Rare flakes in Cairo, Jerusalem paralyzed by over a foot]". The Washington Post.</ref>.
 
==Kanda la Jiji==
[[Kanda ya Jiji]] inajumlisha Kairo pamoja na miji jirani, vitongoji na mapembizo. Idadi ya wakazi kwa jumla iko kati ya milioni 15 hadi 16. Kiutawala kanda ya jiji inajumlisha [[mkoa wa Kairo]] na sehemu ya mikoa miwili yaani [[mkoa wa Giza|Giza]] na [[mkoa wa Qalyubia|Qalyubia]].
 
Miji ya pekee muhimu zaidi katika kanda hii ni
 
* Kairo
* [[Giza (Misri)|Giza]]
* [[Helwan]], pamoja [[Mji wa 15 Mei]]
* [[Shubra El-Kheima]]
* [[Mji wa 6 Oktoba]]
* [[Mji wa Badr]]
* [[Kairo mpya]]
* [[Heliopolis Mpya]]
 
Kuna mipango ya kujenga jiji jipya upande wa mashariki ya Kairo litakalokuwa mji mkuu mpya wa Misri.<ref>"[http://www.bbc.com/news/business-31874886 Egypt unveils plans to build new capital east of Cairo]". BBC News. 13 March 2015. Retrieved 14 March 2015.</ref>
 
 
===Usafiri===
[[File:محطة روض الفرج-القاهرة.jpg|thumb|left|[[Metro ya Kairo]]]]
[[File:Nasr road.jpg|thumb|Barabara Kuu mjini]]
[[File:Cairo Transport Authority.JPG|thumb|left|Mabasi ya manisipaa]]
[[File:Ramses-Station.jpg|thumb|left|Kituo cha Metro Ramses]]
 
Usafiri ndani ya Kairo na [[kanda ya jiji]] huenda kwa kutumia barabara, [[njia za reli]], [[reli ya chini ya ardhi]] inyoitwa "metro" na feri kwenye mto. Kuna magari mengi ya binafsi, [[teksi]] na mabasi ambayo ni ya umma au ya binafsi. Njia nyingi za mabasi na reli ya metro zinakutana kwenye Midan Ramses <ref name=TravelCairo>{{Cite book|title=Travel Cairo|year=2007|publisher=MobileReference|isbn=978-1-60501-055-7|url=https://books.google.com.tw/books?id=50O9dQlwreYC&pg=PT44&lpg=PT44&dq=cairo,+specifically+ramses+square,+is+the+centre+of+almost+the+entire+egyptian+transportation+network&source=bl&ots=xVe8a_96AL&sig=m80pe2fMggr7VUi5LuONGLJXPqw&hl=zh-TW&sa=X&ei=9c4LUPmLPILmmAXCwryfCg&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false}}</ref>
Usafiri ndani ya Kairo ni mashuhuri kwa ugumu wake kutokana na uwingi wa watu na magari.<ref>{{cite web|url=http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |title=Al-Ahram Weekly &#124; Features &#124; Reaching an impasse |publisher=Weekly.ahram.org.eg |date=1 February 2006 |accessdate=5 May 2009 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090518104145/http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |archivedate=18 May 2009 }}</ref>
 
 
[[Picha:CAIRO METRO.jpg|300px|thumb|Ramani ya Metro ya Kairo]]
[[Metro ya Kairo]] ("مترو") ni jina la reli ya chini ya ardhi. Ni usafiri wa haraka pale njia zake zinapofika. Mabehewa yake yanaweza kujaa mno wakati wa masaa ya kwenda kazini na kurudi. Kila treni ya metro huwa na magari wawili yaliyotengwa kwa ajili ya wanawake pekee, ni gari la nne na la tano, lakini hata hivyo wakinamama wako huru kupanda kila behewa wanapotaka. Metro hii ina njia tatu zenye urefu wa kilomita 77.9 na kuna vituo 61 zinazohudumiwa<ref>[http://cairometro.gov.eg/UIPages/History.aspx Tovuti rasmi]</ref>.
 
Kuna [[tramu]] katika sehemu za ([[Heliopolis (Kairo)|Heliopolis]] na [[mji wa Nasr]]) lakini ile katika Kairo mjini ilifungwa miaka mingi iliyopita.
 
Kuna mtandao mkubwa wa barabara kati ya Kairo mjii, sehemu nyngine za kanda ya jiji na miji ya nje. Kuna barabara ya duara inayopita nje ya jiji. Madaraja mengi yanalenga kurahisisha mwendo ndani ya jiji ingawa kwenye masaa ya msongamano watu hukaa sana kwenye foleni za magari.
 
 
== Tazama pia ==
* [[Piramidi za Giza]] ziko karibu na Kairo.
* [[Orodha ya miji ya Misri]]
 
==Marejeo==
<references/>
 
== Viungo vya nje ==