Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
picha
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa jua na sayari zake''' ni utaratibu wa [[jua]] letu na [[sayari]] au [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi ya angani]], vyote vikishikwa na [[mvutano]] wa jua.
 
Mstari 9:
 
== Sayari za jua letu ==
[[File:Size planets comparison.jpg|thumb|Sayari mbili kubwa za buluu karibu na sayari mbili kubwa kabisa zilizoundwa hasa na gesi, pamoja na sayari ndogo kama dunia yetu.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016). "Astronomers say a Neptune-sized planet lurks beyond Pluto". Science. Retrieved January 20, 2016.</ref>]]
Sayari katika mfumo wa jua ni zifuatazo: