Mzunguko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
*Kama kasi au velositi inaongezwa itaanguka mbali zaidi'''(B)'''.
*Wakati kasi inaongezeka zaidi kuna hali ambako risasi haianguki tena inazunguka dunia na kumailisha obiti ya duara '''(C)'''.
*Kama kasi inaongezeka tena obiti inachukua umbo la [[duaradufu]]. Mahali pa [[periheli]] ambako obiti iko karibu na dunia ni mahali pa kufyatuliwa na 180° kinyume chake; katikati ni nukta ya [[afeli]] ambako obiti iko mbali na dunia. '''(D)'''
*Wakati kasi inaongezeka zaidi kuna risasi inafikia velositi ya kutoka katika graviti ya sayari '''(E)'''.