Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
Mstari 110:
| align="center" | 3
|}
 
==Sayari za nyongeza?==
Katika miaka iliyopita wanaastronomia wamejadili uwezekano wa kuwepo kwa sayari za ziada katika umbali mkubwa. Imetambuliwa ya kwamba muundo wa mfumo wa jua ni kubwa kuliko wataalamu wa kale walifikiri.
 
Tangu kutambuliwa wa [[ukanda wa Kuiper]] ambamo Pluto ni sehemu tu inajulikana ya kwamba kuna magimba ya angani mengi yasiyoonekana kwa kirahisi kwa sababu yanapokea na kuakisia nuru kidogo sana kutoka jua.
 
Kuhusu magimba ya angani yaliyombali zaidi kuliko ukanda wa Kuiper hakuna uhakika bado, Lakini tangu mwaka 2012 vipimo vyipya vilisababisha kutokea kwa nadharia tele kuhusu [[Sayari Tisa|sayari ya tisa]] katika umbali mkubwa sana ambyo haikutazamiwa bado.
 
==Marejeo==