Robert Huth : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==Robert== Alizaliwa agosti 18 1984 Biesdorf mashariki mwa berlini Ujerimani utotoni alichezea soka katika timu ya mtaani Vfb forfuna biesdorf kisha feunion be...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Robert Huth''' (alizaliwa [[Biesdorf]], [[mashariki]] mwa [[Berlin]], [[Ujerumani]], tarehe [[18 Agosti]] [[1984]]) ni [[mchezaji wa mpira]].
==Robert==
 
Alizaliwa agosti 18 1984 Biesdorf mashariki mwa berlini Ujerimani utotoni alichezea soka katika timu ya mtaani Vfb forfuna biesdorf kisha feunion berlin alichezea timu za chelsea na pia bayernmunich walimtaka lakini hawakufanikiwa akaenda middlesbrough baada ya miaka miwili akaenda stoke city aliichezea mechi 100 za ligi kuu England dhidi ya Evarton mnamo oktoba 4 20o9 msimu wa 2010/2011 aliisaidia stoke city kucheza fainali za FA na kufungwa na manchester city gori 1-0 na Huth alitangazwa kuwa mchezaji bora stoke city.mwaka 2013 aliumia na kufanyiwa operesheni zilimuweka nje msimu mzima na mwanzoni 2014/2015 akaumia tena na kukaa nje kwa miezi miwili ambapo aliludi desemba 9 2014 akacheza dhidi ya Arsenal kwa misimu 6 alikuwa amechezea mechi 188.Februali 2 2015 hult alitua leicester city kwa mkopo mpaka mwisnoni mwa msimu kuwaslili kwa huth kulisababisha washinde mechi 9 za mwisho na kubaki ligi kuu na kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu England mwaka 2015.Juni 24 2015 leicester kumchukua huth jumla na nitegemeo kubwa kwenye kikosi cha leicester city.
==Maisha==
[[Utoto|Utotoni]] alichezea [[soka]] katika [[timu]] ya mtaani Vfb Forfuna Biesdorf, kisha Feunion Berlin.
 
Alichezea timu za [[Chelsea]], pia [[Bayern Munich]] walimtaka lakini hawakufanikiwa, akaenda [[Middlesbrough]].
 
Baada ya miaka miwili akaenda [[Stoke City]] aliichezea [[mechi]] ya 100 katika [[ligi kuu]] ya [[Uingereza]] dhidi ya [[Evarton]] mnamo [[4 Oktoba]] [[2009]].
 
[[Msimu]] wa [[2010]]/[[2011]] aliisaidia Stoke City kucheza [[fainali]] za FA na kufungwa na [[Manchester City]] [[goli]] 1-0 na Huth alitangazwa kuwa [[mchezaji]] bora wa Stoke City.
 
Mwaka [[2013]] aliumia na kufanyiwa [[operesheni]] ambazo zilimweka nje msimu mzima na mwanzoni mwa [[2014]]/[[2015]] akaumia tena na kukaa nje kwa miezi miwili ambapo alirudi [[9 Desemba]] 2014 akacheza dhidi ya [[Arsenal]].
 
Kwa misimu 6 alikuwa amechezea mechi 188.
 
Tarehe [[2 Februari]] 2015 hult alitua [[Leicester City]] kwa [[mkopo]] mpaka mwishoni mwa msimu: kuwasili kwa Huth kulisababisha washinde mechi 9 za mwisho na kubaki ligi kuu.
 
Baada ya kusajiliwa na Leicester tarehe [[24 Juni]] 2015, Huth amekuwa tegemeo kubwa kwenye kikosi hadi kukiwezesha kuchukua [[ubingwa]] wa ligi kuu ya Uingereza mwaka [[2016]].
 
{{mbegu-mtu}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1984]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji wa Ujerumani]]