Nakshi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Nakshi''' ni kitu chochote kinachotumika kuongeza mvuto wa kitu fulani.' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Nakshi''' ni kitu chochote kinachotumika kuongeza mvuto wa kitu fulani.
Toka zamani za kale [[binadamu]] ameonyesha [[kipaji]] chake cha [[usanii]] kwa kutia nakshi vitu mbalimbali alivyotengeneza au alivyotumia.
Nakshi zilitumika kwa namna ya pekee upande wa [[dini]], katika [[maabadi]] na katika vifaa vya [[ibada]], kama vile [[mavazi]].
{{mbegu}}
[[Jamii:Sanaa]]
|