Maabadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Maabadi''' ni mahali popote pa ibada, kama vile [[hekalu]], [[kanisa]], [[msikiti]], [[patakatifu]] n.k. Pia twaweza kusema ni sehemu iliyowekwa [[wakfu]] au ni [[eneo]] maalum lililojengwa ambalo [[mtu]] au kundi la watu kama vile kusanyiko hukutana kufanya [[ibada]] au kujifunza [[Elimu|masomo]] ya [[Dini|kidini]]. Jengo lililojengwa kwa lengo hili wakati mwingine huitwa [[nyumba]] ya [[ibada]]. Chini ya [[Sheria|Sheria ya Kimataifa ya Ubinadamu]] na [[Geneva|Mikataba ya Geneva]] [[nyumba]] za [[ibada]] hupewa ulinzi maalum sawasawa na ulinzi unaotolewa kwa [[hospitali]] kwa kuonyesha [[msalaba]] mwekundu.
 
Chini ya [[Sheria|Sheria ya Kimataifa ya Ubinadamu]] na [[Geneva|Mikataba ya Geneva]] [[nyumba]] za [[ibada]] hupewa ulinzi maalum sawasawa na ulinzi unaotolewa kwa [[hospitali]] kwa kuonyesha [[msalaba]] mwekundu.
{{mbegu-dini}}