Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; ukubwa unaonyesha uhusiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi]]
 
'''Sayari''' ([[ing.]] ''planet'') ni [[gimba la angani]] kubwa linalozunguka [[jua]] na kung'aa kutokana na nuru ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa pekee yake. Kwa macho inaonekana kama nyota nyingine lakini baada ya kuitazama kwa muda wa mwaka inaonekana inabadilisha mahali pake angani, tofauti na nyota kwa jumla.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili "sayari" lina asili yake katika neno la [[Kiarabu]] '''<big>كوكب سيار</big>''' ''kaukab sayar'' "nyota inayotembea" <ref>kutoka chanzo سير ''sair'' "kutembea, kusafiri" </ref>. Neno hili la Kiarabu linalingana au ni tafsiri ya neno la [[Kigiriki]] πλανήτης ''planetes'' yenye maana "mwenye kutembea" ambayo ni asili ya jina "planet" kwa [[Kiingereza]] na lugha nyingine za [[Ulaya]].
 
 
Katika sayari viumbe mbalimbali vinapatikana, lakini dunia tu ina [[viumbe hai]].
 
==Sayari za jua letu==