Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Jina la Kiswahili "sayari" lina asili yake katika neno la [[Kiarabu]] '''<big>كوكب سيار</big>''' ''kaukab sayar'' "nyota inayotembea" <ref>kutoka chanzo سير ''sair'' "kutembea, kusafiri" </ref>. Neno hili la Kiarabu linalingana au ni tafsiri ya neno la [[Kigiriki]] πλανήτης ''planetes'' yenye maana "mwenye kutembea" ambayo ni asili ya jina "planet" kwa [[Kiingereza]] na lugha nyingine za [[Ulaya]].
 
==Ufafanuzi wa sayari==
 
Wataalamu wa [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] (IAU) waliamua mwaka 2006 kuhusu ufafanuzi wa sayari. Gimba la angani linahesabiwa kuwa sayari kama linatimizi masharti matatu <ref>[http://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0603 Azimio 5A ya IAU ya 2006] "The IAU members gathered at the 2006 General Assembly agreed that a "planet" is defined as a celestial body that (a) is in orbit around the Sun, (b) has sufficient mass for its self-gravity to overcome rigid body forces so that it assumes a hydrostatic equilibrium (nearly round) shape, and (c) has cleared the neighbourhood around its orbit." Tangazo kwenye Tovuti ya IAU, IAU 2006 General Assembly: Result of the IAU Resolution votes, iliangaliwa Mei 2016 </ref>
 
==Sayari za jua letu==