Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
==Ufafanuzi wa sayari==
Wataalamu wa [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] (IAU) waliamua mwaka 2006 kuhusu ufafanuzi wa sayari. Gimba la angani linahesabiwa kuwa sayari kama linatimizi masharti matatu <ref>[http://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0603 Azimio 5A ya IAU ya 2006] "The IAU members gathered at the 2006 General Assembly agreed that a "planet" is defined as a celestial body that (a) is in orbit around the Sun, (b) has sufficient mass for its self-gravity to overcome rigid body forces so that it assumes a hydrostatic equilibrium (nearly round) shape, and (c) has cleared the neighbourhood around its orbit." Tangazo kwenye Tovuti ya IAU, IAU 2006 General Assembly: Result of the IAU Resolution votes, iliangaliwa Mei 2016 </ref>
(a) kama linazunguka jua kwenye [[obiti]] yake
(b) kama masi na graviti yake inatosha kufikia umbo linalofanana na tufe
(c) kama ni gimba tawala ya obiti yake na hivyo limeondoa magimba mengine kwenye obiti kwa graviti yake,
 
Ufafanuzi huu uliamuliwa kwa kura hata kama wanaastronomia wengine hawakukubali. Azimio jili liliondoa hadhi ya sayari kwa [[Pluto]] na magimb mengine kama vile Ceres, [[2 Pallas|Pallas]], [[3 Juno|Juno]] na [[4 Vesta|Vesta]] yaliyowahi kutazamiwa kuwa sayari katika miaka iliyopita.
 
==Sayari za jua letu==