Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; [[ukubwa]] unaonyesha uhusiano[[uwiano]] halisi kati ya sayari lakini [[umbali]] kati ya sayari hauonyeshwi.]]
[[Picha:Giografia|thumb]]
'''Sayari''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''planet'') ni [[gimba la angani]] kubwa linalozunguka [[jua]] na kung'aa kutokana na [[nuru]] ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa pekeepeke yake. Kwa [[macho]] inaonekana kama nyota nyingine, lakini baada ya kuitazama kwa muda wa [[mwaka]] inaonekana inabadilisha mahali pake angani, tofauti na nyota kwa jumla.
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; ukubwa unaonyesha uhusiano halisi kati ya sayari lakini umbali kati ya sayari hauonyeshwi]]
 
'''Sayari''' ([[ing.]] ''planet'') ni [[gimba la angani]] kubwa linalozunguka [[jua]] na kung'aa kutokana na nuru ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa pekee yake. Kwa macho inaonekana kama nyota nyingine lakini baada ya kuitazama kwa muda wa mwaka inaonekana inabadilisha mahali pake angani, tofauti na nyota kwa jumla.
 
==Jina==
[[Jina]] la [[Kiswahili]] "sayari" lina asili yake katika [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>كوكب سيار</big>''' ''kaukab sayar'' "nyota inayotembea" <ref>kutoka chanzo سير ''sair'' "kutembea, kusafiri" </ref>. Neno hili la Kiarabu linalingana au ni [[tafsiri]] ya neno la [[Kigiriki]] πλανήτης ''planetes'' yenye maana "mwenye kutembea" ambayo ni asili ya jina "planet" kwa [[Kiingereza]] na [[lugha]] nyingine za [[Ulaya]].
 
==Ufafanuzi wa sayari==
[[Wataalamu]] wa [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] (IAU) waliamuawalikubaliana mwaka [[2006]] kuhusu ufafanuzi wa sayari. Gimba la angani linahesabiwa kuwa sayari kama linatimizilinatimiza masharti matatu :<ref>[http://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0603 Azimio 5A ya IAU ya 2006] "The IAU members gathered at the 2006 General Assembly agreed that a "planet" is defined as a celestial body that (a) is in orbit around the Sun, (b) has sufficient mass for its self-gravity to overcome rigid body forces so that it assumes a hydrostatic equilibrium (nearly round) shape, and (c) has cleared the neighbourhood around its orbit." Tangazo kwenye Tovuti ya IAU, IAU 2006 General Assembly: Result of the IAU Resolution votes, iliangaliwa Mei 2016 </ref>
(a) kama linazunguka jua kwenye [[obiti]] yake
(b) kama [[masi]] na [[graviti]] yake inatoshazinatosha kufikia [[umbo]] linalofanana na [[tufe]]
(c) kama ni gimba tawala ya obiti yake na hivyo limeondoa magimba mengine kwenye obiti kwa graviti yake,.
 
Ufafanuzi huuhuo uliamuliwa kwa [[kura]] hata kama wanaastronomia wengine hawakukubali. Azimio jilihili liliondoa hadhi ya sayari kwa [[Pluto]] <ref> Pia na magimba mengine kama vile Ceres, [[2 Pallas|Pallas]], [[3 Juno|Juno]] na [[4 Vesta|Vesta]]. Hizi nne zilitazamiwazilitazamwa kuwa sayari tangu kutambuliwa mnamo [[1801]] hadi kuitwa “asteroidi” kwenye [[miaka ya 1850]]. [http://aa.usno.navy.mil/faq/docs/minorplanets.php When did the asteroids become minor planets? ], Hilton, James L. kwenye tovuti ya U.S. Naval Observatory, iliangaliwa mwaka 2008</ref> iliyowahi kutazamiwakutazamwa kuwa sayari katika miaka iliyopita.
 
Wakati mwingine kuna pia magimba mengine pia yanayoitwa "sayari" ingawa hayatoshelezi masharti yote matatu.
 
* Magimba ya angani katika [[mfumo wa jua]] letu yenye umbo la kufanana na tufe yasiyolingana na shartsharti c) huitwa "[[sayari kibete]]" - kwa mfano Pluto.
* Magimba yanayozunguka nyota nyingine nje ya mfumo wa jua letu, kama yana masi ya kutosha, huitwa "[[sayari za nje]]" (ing. ''[[w:exoplanet|exoplanet]]''). Hadi Mei [[2016]] kuna 2125 zilizotambuliwa <ref>Schneider, Jean (16 January 2013). "[http://exoplanet.eu/catalog/ Interactive Extra-solar Planets Catalog]". The Extrasolar Planets Encyclopaedia. ilitazamiwa 8 Mei 2016</ref>.
* Magimba yenye masi ya sayari ambazo si sehemu ya mfumo wa jua lolote lakini zinapita angani zinazoweza kuitwa [[sayari temebezitembezi]] (ing. [[w:Rogue planet|wandering planets]], siku hizi zaitwa pia "planemo").
 
==Majina ya sayari==
Katika lugha za Ulaya majina ya sayari za jua letu yanatokana na majina ya [[miungu]] ya [[Roma ya Kale]] au [[Ugiriki ya Kale]]. Kwa Kiswahili majina ya sayari zinazoonekana kwa macho (bila [[darubini]]) yatokanayanatokana na lugha ya Kiarabu, isipokuwa sayari ya pili ( [[Zuhura]]) ina pia jina lenye asili ya [[Kibantu]] hii ni [[Ng'andu]] (pia: Zuhura).
 
==Sayari za jua letu==
Jua letu lina sayari [[nane]] ambazo ni [[Utaridi]] ''(Mercurius)'', [[Zuhura]] (pia: Ng'andu; ''Venus''), [[Dunia]] yetu ''(Earth)'', [[Mirihi]] ''(Mars)'', [[Mshtarii]] ''(Jupiter)'', [[Zohali]] ''(Saturnus)'', [[Uranus]] na [[Neptun]]. Toka mwaka [[1930]] hadi Agosti [[2006]] [[Pluto]] ilikuwa ikitambulika kama sayari hivyo kufanya idadi ya sayari zinazojulikana kuwa [[tisa]]. Hata hivyo chama chenye [[mamlaka]] juu ya masuala ya sayari na nyota, [[International Astronomical Union]] kimetangaza rasmi kuwa Pluto siosi sayari na kuiita [[sayari kibeti]].
 
Sayari [[tano]] za [[Utaridi]], [[Zuhura]], [[MerikiMirihi]], [[Mshtarii]] na [[Zohari]] <ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]. <br /> Menginevyo kuhusu mchangayiko wa majina ya sayari anagaliaangalia ukurasa wa majadiliano.</ref> huonekana kwa macho kama [[nyota]] angani. Lakini tangu zamani zilitambuliwa kuwa tofauti kwa sababu hazikai mahali palepale kama nyota ya kawaida bali huhamahama angani. Kutokana na tabia hii zimetazamiwazimetazamwa mara nyingi kuwa na nguvu za pekee au hata kuwa miungu. [[Unajimu]] imetumiaumetumia mwendo wa sayari zinazoonekana kwa macho kama msingi muhimu wa makadirio yao.
 
Sayari nyingine katika [[mfumo wa jua]] zimetambuliwa tangu kutokea kwa [[astronomia]] ya [[sayansi|kisayansi]] kwa [[darubini]]. Hizi ni [[Uranus]] na [[Neptun]]. Katika lugha ya Kiswahili sayari zinazoonekana kwa macho huwa na majina ya asili ya [[Kiarabu]] isipokuwa Zuhura ina jina la [[Kibantu]] la [[Ng'andu]] pamoja na jina la asili ya Kiarabu. Majina mengine ni ya asili ya [[Kilatini]].
 
Jumla ya jua, sayari zote 8 pamoja na [[mwezi|miezi]] yao, [[sayari kibete]], [[kimondo|vimondo]], [[nyotamkia]] na [[asteroidi]] inaitwa [[mfumo wa jua]].
 
==Aina za sayari==
Sayari za jua letu hutofautiana kwa ukubwa na muundo. [[Mshtarii]] (Jupiter) ni sayari kuwbakubwa na [[masi]] yake ni mara 318 masi ya dunia yetu. Sayari ndogo ni [[Utaridi]] na masi yake ni takriban [[nusu]] ya dunia.
 
Kutokana na umbali tunatofautisha "sayari za ndani" kuanzia Utaridi (Mercurius) hadi [[ukanda wa asteroidi]], halafu "sayari za nje" kuanzia Mshtarii (Jupiter) hadi Uranus.
Line 44 ⟶ 42:
 
==Sayari nje ya mfumo wa jua letu==
Wataalamu wa astronomia wamegundua [[sayari za nje]] ([[ing.]] ''exoplanets'') yaani sayari zilizopozilizo nje ya mfumo wa jua letu zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji kwa muda mrefu hapakuwahakukuwa na uhakika kama nyota kuwa na sayari ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu. Hadi Novemba [[2015]] kuwepo kwa sayari 1983 kumethibitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 491 imetambuliwa ambako ni zaidi ya sayari 1 zinapatikana.<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 19 Novemba 2015]</ref>
1983 kumethebitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 491 imetambuliwa ambako ni zaidi ya sayari 1 zinapatikana.<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 19 Novemba 2015]</ref>
 
Nyingi kati ya haohizo zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Lakini sayari ndogo zaidi zimetambuliwa pia. <ref name="Encyclopaedia">{{cite web |title=Interactive Extra-solar Planets Catalog |work=[[The Extrasolar Planets Encyclopaedia]] |url=http://exoplanet.eu/catalog.php |last=Schneider |first=Jean |date=10 Septemba 2011 |accessdate=2012-01-30 }}</ref>
 
== Marejeo ==