Pambo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Tangu zamani za kale [[binadamu]] ameonyesha [[kipaji]] chake cha [[usanii]] kwa kupamba vitu mbalimbali, hasa vile vinavyomhusu zaidi, kama vile [[mavazi]] yake na [[mwili]] wake mwenyewe.
 
[[Mitindo]] mbalilmbali ya [[Pambo|mapambo]] imegunduliwa kupitia [[sanaa]] na ujenzi,ikiwemo [[ufinyanzi]], [[samani]] na kazi za [[uhunzi]] pia. Kwenye nguo, [[Ukuta|kuta]] na vitu vingine ambapo [[Pambo|mapambo]] yaweza kuwa kitu pekee kinachosaidia kuwepo kwake, [[mchoro|michoro]] na miundo pia hutumika zaidi. Miundo mbalilmbali inayotumika katika michoro ya mapambo hutolewa katika [[umbo|maumbo]] ya [[jiometri|kijiometri]], na maumbo ya [[mimea]] na [[wanyama]] pia.
{{mbegu}}
 
{{mbegu}}
[[Jamii:Sanaa]]