Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Solar_planets.jpg|thumb|140px|Sayari za [[mfumo wa jua]] letu; [[ukubwa]] unaonyesha [[uwiano]] halisi kati ya sayari lakini [[umbali]] kati ya sayari hauonyeshwi.]]
'''Sayari''' (kwa [[Kiingereza]] ''planet'') ni [[gimba la angani]]|gimba kubwa la angani]] linalozunguka [[jua]] na kung'aa kutokana na [[nuru]] ya jua iliyoakisiwa, tofauti na [[nyota]] na jua zinazong'aa peke yake. Kwa [[macho]] inaonekana kama nyota, lakini baada ya kuitazama kwa muda wa [[mwaka]] inaonekana inabadilisha mahali pake angani, tofauti na nyota kwa jumla.
 
==Jina==
[[Jina]] la [[Kiswahili]] "sayari" lina asili yake katika [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>كوكب سيار</big>''' ''kaukab sayar'' "nyota inayotembea" <ref>kutoka chanzo سير ''sair'' "kutembea, kusafiri" </ref>. Neno hili la Kiarabu linalingana au ni [[tafsiri]] ya neno la [[Kigiriki]] πλανήτης ''planetes'' yenye(lenye maana ya "mwenyeyenye kutembea") ambayoambalo ni asili ya jina "planet" kwa [[Kiingereza]] na [[lugha]] nyingine za [[Ulaya]].
 
==Ufafanuzi wa sayari==
Zamani kulikuwa na sayari 5 tu zilizionekanazilizoonekana angani kwa macho matupu kama nyota zinazobadilisha mahali<ref>Hizi ni Utaridi, Zuhura, Mirihi, Mshtarii na Zohali. Pale mwanzoni, kabla ya uchunguzi wa [[Kopernikus]], haikueleweka ya kwamba Dunia ni sayari sawa na hizo nyingine. </ref>. Tangu kupatikana kwa mitambo kama [[darubini]] katika miaka 400 iliyopita idadi ya magimba angani yenye miendo ya pekee imeongezeka sana lakini ilionekanaimeonekana pia kuna tofauti kubwa sana kati ya magimba haya.
 
Hivyo wataalamu wa [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] (IAU) walikubaliana mwaka [[2006]] kuhusu ufafanuzi wa sayari. Gimba la angani linahesabiwa kuwa sayari kama linatimiza masharti matatu:<ref>[http://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0603 Azimio 5A ya IAU ya 2006] "The IAU members gathered at the 2006 General Assembly agreed that a "planet" is defined as a celestial body that (a) is in orbit around the Sun, (b) has sufficient mass for its self-gravity to overcome rigid body forces so that it assumes a hydrostatic equilibrium (nearly round) shape, and (c) has cleared the neighbourhood around its orbit." Tangazo kwenye Tovuti ya IAU, IAU 2006 General Assembly: Result of the IAU Resolution votes, iliangaliwa Mei 2016 </ref>