Tofauti kati ya marekesbisho "Utamaduni"

11 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
* (2) Namna mbalimbali ambazo watu wanaoishi katika sehemu mbalimbali [[ulimwengu]]ni huainisha na kuwasilisha tajiriba zao za maisha na kutenda mambo kwa ubunifu. Kufuatia [[vita vya pili vya dunia]], dhana hii ilipata umaarufu, ingawa kwa fafanuzi tofautitofauti katika [[taaluma]] kama vile [[sosholojia]], mafunzo ya utamaduni, [[saikolojia]] ya mipangilio na mafunzo ya [[usimamizi]].
 
== DiskosiDhana za karne ya 19 ==
=== Ulimbwende wa Kiingereza ===
[[Picha:Matthew Arnold - Project Gutenberg eText 16745.jpg|thumb|left|upright|[[Mshairi]] na [[mwandishi]] wa [[insha]] wa [[Uingereza]] [[Matthew Arnold]] alitumia neno "utamaduni" kumaanisha hali ya juu sana ya ubora wa binadamu.]]
Mnamo mwaka [[1795]], [[mwanaisimu]] na mwanafalsafa [[Wilhelm Von Humboldt]] ([[1767]]-[[1835]]) alitoa wito kuanzisha anthropolojia ambayo iunganishe mawazo ya Kant na Herder. Katika enzi ya Kilimbwende, wasomi wa Kijerumani, hasa wale walioshughulikia muungano wa kitaifa - kama vile mapambano ya kitaifa ya kuanzisha [[dola la Ujerumani]] kutoka kwa vidola vidogovidogo na mapambano ya kitaifa ya makabila madogo dhidi ya himaya ya [[Austria-Hungaria]] - walikuza dhana ya utamaduni ya "[[mwonoulimwengu]]". Kulingana na [[shule]] hii ya mawazo, kila [[kabila]] lina mwonoulimwengu wake ambao hauwezi kulinganishwa na mionoulimwengu ya makundi mengine ya watu. Ingawa maoni hayo yalikuwa husishi kuliko maoni ya hapo awali, mwelekeo huu kuhusu utamaduni bado ulikuwa na milinganisho ya "ustaarabu" na "ushenzi" au tamaduni za "kikabila".
 
Mnamo mwaka [[1860]], [[Adolf Bastian]] ([[1826]]-[[1905]]) alipigania "umoja wa binadamu kisaikolojia". Alipendekeza kwamba, mlinganisho wa kisayansi wa jamii zote za binadamu udhihirishe mionoulimwengu tofauti inayojumuisha elementi sawa za kimsingi. Kulingana na Bastian, jamii zote za binadamu zina "mawazo sawa ya kimsingi" ''(Elementargedanken)''; tamaduni sawa au tofauti za "mawazo ya jadi" ''(Volkergedanken)'', haya ni mabadiliko ya kienyeji yanayofanyiwa mawazo ya kimsingi.<ref> "Adolf Bastian", ''Sayansi Leo katika Historia;'' "Adolf Bastian", [[Encyclopaedia Britannica|''Encyclopaedia Britannica'']] </ref> Ufafanuzi huu umechangia pakubwa kuelewa utamaduni siku hizi. [[Franz Boaz]] ([[1858]]-[[1942]]) alipata mafunzo katika utamaduni huu na ndiye aliyeyapeleka mawazo haya [[Marekani]] alipohamaalipohamia kutoka Ujerumani.
{{clr}}
 
== DiskosiDhana za karne ya 20 ==
=== Anthropolojia ya Kimarekani ===
Ingawa wanaanthropolojia ulimwenguni huurejelea ufafanuzi wa Taylor, katika karne ya ishirini20 dhana ya utamaduni ilijitokeza kama [[mhimili]] wa [[Anthropolojia ya Kimarekani]], ambapo utamaduni ulifafanuliwa kama uwezo wa kiubia wa binadamu wa kuainisha na kusimbika tajiriba zao kiishara na kuwasilisha kiishara tajiriba zilizosimbikwa kijamii. Anthropolojia ya Kimarekani imepangiliwa katika mawanda manne. Kila mojawapo huchangia sana katika [[utafiti]] wa utamaduni. Mawanda yenyewe ni: Anthropolojia[[anthropolojia ya kibayolojiakibiolojia]], [[Isimu]], [[anthropolojia ya kitamadunikiutamaduni]], na Akiolojia[[akiolojia]]. Utafiti katika mawanda haya umewaathiri kwa kiwango fulani wanaathropolojia wanaofanya kazi katika nchi zingine.
 
==== Anthropolojia ya kibiolojia: ukuaji wa utamaduni ====
[[Picha:Hominoid taxonomy 7.svg|thumb|300px|Mahusiano ya uainishaji baina ya spishi nne zilizohaizilizo hai za clade Hominoidea: Hylobatidae, Gorillini, Homo, Pan na Pongo]]
Majadaliano kuhusu utamaduni miongoni mwa wanaathropolojia wa kibayolojiakibiolojia yanazungukia mijadala miwili. Kwanza, je utamaduni ni wa binadamu pekee au unahusisha binadamu pamoja na viumbe[[viumbehai]] wengine (hususahususan [[nyani]])? Hili swali ni muhimu, kwa sababu nadharia ya Ukuajiukuaji wa viumbe inashikilia ya kwamba asili ya binadamu inatokanaanatokana na [[nasaba]] ya nyani. Pili utamaduni miongoni mwa binadamu ulikuwa vipi?
 
[[Gerald Weiss]] alisema ya kwamba ingawa ufafanuzi mzuri wa Taylor kuhusu utamaduni ulijikita tu upande wa binadamu, wanaanthropolojia wengi hupuuza ufafanunuziufafanuzi kwa kuhusisha utamaduni na tabia yoyote iliyofundishwa au kuigwa. Hili ni tatizo kwa sababu katika miaka iliyotangulia ya [[primatolojia]] ya kisasa, baadhi ya wanaprimatolojia walipata mafunzo katika Anthropolojia (hao walielewa kuwa utamaduni unamaanisha tabia iliyofundishwa au kuigwa miongoni mwa binadamu) na wengine hawakupata mafunzo hayo. Wataalamu wasiokuwa wanaanthropolojia kama vile [[Robert Yerkes]] na [[Jane Goodall]] walisema ya[[sokwe]] kwambawana utamaduni kwa kuwa sokwe wanadhihirisha tabia walizojifunza, wana utamaduni.<ref> Robert Yerkes 1943 ''Chimpanzees: A Laboratory Colony.'' New Haven: [[Yale University Press.]] 51-52, 189, 193</ref><ref> Jane Goodall 1963 "My Life Miongoni Wild Chimpanzees" ''National Geographic'' 124: 308</ref> Siku hizi wanaprimatolojia wa kianthropolojia wamegawanyika, kiasi kwamba kuna wale wanaodai kuwa binadamu wasiofanana na nasaba ya nyani wana utamaduni ilhali wengine wanadai kuwa hawana.<ref> RJ Andrew 1963 "Comment on The Essential Morphological Msingi ya Binadamu Utamaduni" Alan Bryan ''Hali Anthropology'' 4: 301-303, uk 301</ref><ref> Alan Bryan 1963 "The Essential msingi Morphological Binadamu Utamaduni" ''Hali Anthropology'' 4: 297</ref><ref> Keleman 1963 "Comment on The Essential Morphological Msingi ya Binadamu Utamaduni" Alan Bryan ''Hali Anthropology'' 4: 301-303 p.304</ref><ref> WC McGrew 1998 "Utamaduni katika nonhuman Primates?" ''Annual Review of Anthropology'' 27: 301-328</ref>
 
Mjadala huu wa kisayansi unatatizwa na masuala ya kiadili. Wanaozungumziwa katika primatolojia huwa si binadamu na utamaduni ule ambao wanaweza kuwa nao unatishiwa na shughuli za kibinadamu. Baada ya kupitia utafiti kuhusu utamaduni wa nyani, [[W. C. McGrew]] alihitimisha “mawanda ya usomi huhitaji wanaozungumziwa (wanaofanyiwa utafiti) na [[spishi]] nyingi za nyani hutishiwa maisha yao na [[binamu]] zao binadamu. Hatimaye licha ya [[uzuri]] wake, ni lazima primatolojia ya kitamadunikiutamaduni ijikite upande wa kuendelea kuwepo kwa utamaduni (yaani kuendelea kuwepo kwa tamaduni za nyani).<ref name="autogenerated6"> WC McGrew 1998 "Utamaduni katika Nonhuman Primates?" ''Annual Review of Anthropology'' 27: 323</ref>
 
McGrew anapendekeza ufafanuzi wa utamaduni ambao anauona kuwa wa manufaa kisayansi wakati mtu anaposoma kuhusu utamaduni wa nyani. Anaendelea kusema kwamba wanasayansi hawawezi kuyapata kwa urahisi mawazo au maarifa ya kibinafsi kuhusu nyani. Basi, ikiwa utamaduni unaweza kufafanuliwa katika muktadha wa maarifa, inaonekana [[wanasayansi]] wamebanwa katika jitihada zao za kuchunguza utamaduni wa nyani. BaadalaBadala ya kufafanua utamaduni kama aina ya maarifa, McGrew anapendekeza kuwa tuuangalie utamaduni kama mchakato. Yeye orodhaorodhesha hatua sita katika mchakato:
 
# Mpangilio mpya wa tabia ubuniwe au ule uliopo urekebishwe.
# Yule anayepata mpangilio huu ahifadhi uwezo wa kuutenda baada ya kuupata.
# Mpangilio usambae kotekote katika makundi ya kijamiii vya watu. Makundi hayo yanaweza kuwa familia,koo,vikosi vya majeshi au bendi.
# MpanglioMpangilio unavuka mipaka ya vizazi.<ref name="autogenerated6"/>
 
McGrew anaungama kuwa kigezo hiki cha hatua sita kinaweza kuwa kigumu kutokana na ugumu wa kuchunguakuchunguza tabia za nyani wakiwa wameghadhabika. Lakini anasistizaanasisitiza umuhimu wa ufafanuzi wa utamaduni "ulio mpana":
<blockquote>Utamaduni unachukuliwa kuwa tabia ya kikundi fulani mahsusi inayopatikana kutokana na athari za kijamii. Hapa kikundi kinachukuliwa kuwa kipashio halisi cha spishi iwe kikosi cha askari, ukoo, au kijikundi. ''Prima facia'' Ushahidi hasa wa utamaduni unatoka ndani ya spishi lakini unaweza kutolewa katika kikundi kizima pale tofauti za kitabia zinapodhihirika kwa mfano ikiwa mpangilio ni uleule katika jumuia moja ya sokwe lakini haupo katika jumuia nyingine au wakati ambapo jumuia tofauti zinapotenda aina tofauti za mpangilio mmoja. Pendekezo la utamaduni katika vitendo lina uzito pale tofauti katika kikundi haziwezi kuelezewa na mambo ya kiekolojia ....<ref> WC McGrew 1998 "Utamaduni katika Nonhuman Primates?" ''Annual Review of Anthropology'' 27: 305</ref></blockquote>
kama anavyoelezea [[Charles Frederick Voegelin]], ikiwa “utamaduni” utajikita tu katika ufanunuziufafanuzi wa “tabia ambazo mja alijifundisha”, basi [[wanyama]] wana utamaduni.<ref> CF Voegelin 1951 "Utamaduni, Lugha na viumbe Binadamu" ''Journal of Anthropology kusini magharibi mwa'' 7: 370</ref> Wataalamu wanakubaliana kwamba spishi zote za nyani hudhihirisha stadi sawa za kufikiria: ufahamu wa kudumu kwa vitu, mpangilio wa fikira, uwezo wa kuainisha vitu katika kategoria mbalimbali na ubunifu wa kusuluhisha shida.<ref name="autogenerated1"> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 511</ref> Isitoshe spishi zote za nyani hudhihirisha stadi sawa za kijamii: wanaweza kutambua wanachama wa kikundi chao; wanaunda mahusiano ya moja kwa moja kutegemea viwango vya ukoo na cheo; hutambua mahusiano mengine ya kijamii yaliyombali; wanabashiri tabia za usoni na hushirikiana katika usuluhishaji wa shida.<ref name="autogenerated1"/>
 
Wataalamu wanakubaliana kwamba spishi zote za nyani hudhihirisha stadi sawa za kufikiria: ufahamu wa kudumu wa vitu, mpangilio wa fikira, uwezo wa kuainisha vitu katika [[kategoria]] mbalimbali na ubunifu wa kutatua matatizo.<ref name="autogenerated1"> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 511</ref> Isitoshe spishi zote za nyani hudhihirisha stadi sawa za kijamii: wanaweza kutambua wanachama wa kikundi chao; wanaunda mahusiano ya moja kwa moja kutegemea viwango vya [[ukoo]] na [[cheo]]; hutambua mahusiano mengine ya kijamii yaliyo mbali; wanabashiri tabia za usoni na hushirikiana katika utatuzi wa matatizo.<ref name="autogenerated1"/>
 
[[Picha:Lucy blackbg.jpg|thumb|upright|left|Cast[[Kiunzi]] ya skeleton yacha Lucy, anjamii ya Australopithecus afarensis]]
[[Picha:Human evolution chart-en.svg|thumb|left|Mmoja sasa mtazamoRamani wa kidunia na usambazajiuenezi wa kijiografia hominid wakazihominidi.]]
Hata hivyo [[istilahi]] “utamaduni” inaweza kuwahusu wanyama wasio binadamu ikiwa tutafafanua utamaduni kama tabia zozote au zote zilizoigwa au kufundishwa. Katika anthropolojia halisi wasomi hudhania ya kwamba ufafanuzi uliobanwa ndio unaofaa. Watafiti hawa wanajihusisha na namna binadamu walivyokuwa na hata kuwa tofauti na spishi zingine. Ufafanuzi wa uhakika kabisa wa utamaduni ambao unapuuza tabia za kijamii ambazo si za kibinadamu utawaruhusu wanaathropolojia kuchunguza jinsi binadamu walivyokuza uwezo wao wa kipekee wa “utamaduni”.
 
Sokwe ''(Pan troglodytes'' na ''Pan paniscus)'' wana uhusiano wa karibu sana na binadamu '''(homo sapiens)'': wote hawahao walitokana na [[babu]] mmoja aliyeishi miaka ipatayo [[milioni]] [[tano]] au [[sita]] iliyopita. Huu ndio muda ambao [[farasi]] na [[pundamilia]], [[simba]] na [[simba marara]], na [[panya]] walichukua kutoka kwa babu yaozao. <ref> M. Mfalme na A Wilson 1975 "Evolution katika ngazi mbili: katika wanadamu na chimpanzees" ''Sayansi ya'' 188: 107-116</ref> Ukuaji wa binadamu wa kisasa ni wa haraka sana: ''[[Australopithicenes]]'' walikua miaka milioni nne zilizopita na binadamu mamia kadhaa ya miaka iliyopita.<ref> Stringer na ''Afrika'' McKiew 1996 ''Kutoka: Asili ya Ubinadamu ya kisasa.'' London: Cape</ref> Wakati huu binadamu walikuza sifa tatu bainifu:
* (a) ubunaji na matumizi ya ishara zikiwemo ishara za kiisimu, lugha andishi ilivumbuliwa pamoja na ishara za hisabati, muziki n.k
* (b) ubunaji na matumizi ya vifaa changamano pamoja na teknolojia zilizotumia vifaa
:* (ac) ubunaji na matumizi ya ishara zikiwemo ishara za kiisimu, lugha andishi ilivumbuliwa pamoja na ishara za hisabati, muziki n.k (b)ubunaji na matumizi ya vifaa changamano pamoja na teknolojia zilizotumia vifaa (c)ubunaji na kushiriki katika mipangilo na asasi changamano.<ref name="autogenerated2"> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 510</ref>
 
: (a) ubunaji na matumizi ya ishara zikiwemo ishara za kiisimu, lugha andishi ilivumbuliwa pamoja na ishara za hisabati, muziki n.k (b)ubunaji na matumizi ya vifaa changamano pamoja na teknolojia zilizotumia vifaa (c)ubunaji na kushiriki katika mipangilo na asasi changamano.<ref name="autogenerated2"> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 510</ref>
Kulingana na mwanasaikolojia maendeleo Michael Tomasello ni vigumu sana kuelezea "chimbuko la tabia na stadi" hizi. Maadam binadamu wa sasa na sokwe wanatofautiana sana ikilinganishwa na farasi na pundamilia, au panya. Ukuaji wa tofauta hizi umejiri katika muda mfupi, “ni lazima tutafute tofauti ndogo ambazo zitaleta tofauti kubwa - uasilishaji wa kiwango fulani au viwango vidogo vya uasilishaji, ambavyo vimebadili mchakato wa ukuaji wa kifikira wa nyani kwa njia madhubuti sana." Kulingana na Tomasello, jibu kwa swali hili ni lazima liunde msingi kwa ufafanuzi wa kisayansi wa "utamaduni wa binadamu."<ref name="autogenerated2"/>
 
 
[[Picha:MaternalBond.jpg|thumb|left|Mama na mtoto]]
[[Picha:Eskimo Family NGM-v31-p564-2.jpg|thumb|left|InuitFamilia familiaya Inuit]]
[[Picha:Khotan-mercado-chicas-d01.jpg|thumb|left|Wasichana katika Xinjiang katika Northwestern, Uchina]]
[[Picha:kidsindoorwayC.jpg|thumb|left|Watoto katikawa Yerusalemu]]
[[Picha:Children in Namibia(1 cropped).jpg|thumb|left|Watoto nchini Namibia]]
Aina ya kujifunza mahususi kwa watoto ni ile ya “kujifunza kwa kuiga” hii inamaanisha kukirudia tena kitendo kilichoeleweka maksudi."<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 512</ref> Watoto wachanga huanza kudhihirisha namna hii ya kujifunza kati ya umri wa miaka tisa na kumi na mbili. Huu huwa wakati ambapo watoto huweka akili yao kwa kifaa fulani huku wakimtazama mtu mzima anavyofanya mambo ili waige." <ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 513</ref> Kuna machapisho mengi kuhusu hali hii na hujulikana kama “mahusiano ya pamoja” au “makini ya pamoja.”<ref> R. Bakerman na Yale Adamson 1984 "Kuratibu makini na watu na vitu katika mama-watoto wachanga na watoto wachanga peer mwingiliano" katika ''Maendeleo ya Watoto'' 55: 1278-1289</ref><ref> C. Moore na P. Dunham 1995 ''Pamoja Attention: Its Chimbuko na Majukumu katika Maendeleo.'' Hillsdale, NJ: Erlbaum Press.</ref> Muhimu kwa hali ni ule uwezo wa watoto kuweza kutambua wengine kama “wakala wa maksudi” yaani watu walio na uwezo wa kudhibiti tabia yao inayojiri kimaumbile na wale walio na malengo na wanafanya maamuzi fulani ya kitabia ili waweze kutimiza malengo hayo."<ref> M. Tomasello 1995 "Pamoja makini kama cognition kijamii" katika ''Pamoja Attention: Its Chimbuko na Majukumu katika Maendeleo,'' ed. C. Moore na P. Dunham. Hillsdale NJ: Erlbaum Press, uk. 103-130</ref>
Hii ndiyo maana uelewaji wa kiishara na mawasiliano pamoja na kujifunza kwa kuiga unaendana.<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 517.</ref>
 
Holloway anadai kuwa vifaa vya mawe vinavyohusishwa na ''homo'' Homo vina sifa sawa na lugha ya binadamu:
 
: Nikirejea tena kwenye masuala ya sintaksi, sheria na shughuli zilizotajwa hapo juu, takribani kila ruwaza inayoelezea mchakato wa lugha inaweza pia kutumiwa kuelezea kutengeneza vifaa. Hili si jambo la kushangaza. Shughuli zote zilizojumuishwa pamoja zina sheria thabiti kupangilia shughuli za vipashio vyake (sarufi, sintaksi) yote ni mifumo iliyo na mpangilio kuanzia kipashio kikubwa hadi kidogo (kama ilivyo katika shughuli za mwendo). Zote hutoa mipangilio inayozuka kinasibu ambayo huwa sehemu ya mazigira ama kwa muda mufupi au hudumu.<ref> Ralph Yale Holloway Jr 1969 "Utamaduni: A Binadamu domain" katika ''Hali Anthropology'' 10 (4): 401</ref>
[[Mwanaanthropolojia]] wa kibiolojia Terrence Deacon katika mkusanyiko wake wa miaka ishirini ya utafiti kuhusu ukuaji wa binadamu, nurolojia ya kibinadamu, na primatolojia anaelezea hii athari ya ratchet kama namna ya ‘ukuaji wa Kibaldwin.” ambao umepata jina kutoka kwa mwanasakolojia, James Baldwin. Hii huelezea hali ambamo tabia ya mnyama inaweza kuwa na matokea ya kiukuaji mnyama anapobadilisha mazingira yake halisi na hivyo nguvu fulani zinazoathiri mnyama huyo.<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 322</ref>
 
: Pale tabia Fulanifulani muhimu zinaposambaa katika kikundi na kuwa muhimu kwa matumizi, itasababisha shinikizo kwa tabia za urithi wa uzazi ambazo huchangia sana katika usambazaji wake ... vifaa vya mawe na taimboliki ambavyo mwanzoni vilipatikana kupitia kwa uwezo mwepesi wa nyani kujifunza. Hii iliwalazimisha watumizi kwa mtindo huo mpya wa teknolojia. Mbali na kuwa mbinu mpya, hizi tabia za kutafuta chakula na mpangilio wa jamii zimekuwa elementi za uasilisho mpya changamano. Usuli wa “ubinadamu” unaweza kufafanuliwa kama hatua katika ukuaji wetu ambapo vifaa hivi vilikuwa chanzo kikuu katika uteuzi wa mili na bongo zetu. Hii ndiyo kuelezea hali ya ''homo symbolicus.'' <ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 344</ref>
Kulingana na Deacon, hii ilijiri kati ya miaka milioni 2 na 2.5 iliyopita wakati tulipokuwa na ushahidi wa fosili ya kwanza ya matumizi ya vifaa vya mawe na mwanzo wa kuongezeka katika kimo cha akili. Lakini ni ukuaji wa lugha ya kiishara ambao ni kisababishi - na matokeo - cha mtindo huu.<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 340</ref> Hakika Deacon anapendekeza kuwa ''Australopithecines,'' kama walivyo nyani wa sasa walitumia vifaa; inawezekana kuwa zaidi ya mamilioni ya miaka ya historia ya ''Australopithecine'' vikosi kadhaa vilikuza mifumo ya mawasiliano ya kiishara. Kilichokuwa muhimu, mojawapo ya vikundi hivi kilibadilisha mazingira yake hivi kwamba kilianzisha uteuzi wa uwezo tofauti kabisa wa kujifunza kuliko ilivyoathiri spishi zilizotangulia."<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 347</ref> Kikosi au kikundi hiki kilianzisha mchakato wa Baldwin (athari ya ratchet) uliosababisha ukuaji wake kwa jenasi iitwayo ''Homo.''
 
Swali analolishughulikia Deacon ni, ni tabia na mabadiliko yepi ya kitabia katika mazigira ambayo yamechangia katika kuasilishwa kwa kufikiria kiishara? Hapa anatilia mkazo umuhimu wa kutofautisha binadamu na spishi zingine siyo kwa lengo la kuweka juu werevu wa binadamu bali ni kuonyesha palipo na tatizo. Madaam ukuaji wa ''H. sapiens'' ulianza na mababu ambao hawakuwa na “utamaduni”, kile kilichowapelekea kuachana na kujifunza kwa kufikiria, mawasiliano, na njia za kutengeneza vifaa ambazo zilikuwepo na zikaendelea kuasilishwa kwa nyani wengi (na wengine wamependekeza, spishi za wanyama)? Mifumo ya ishara ya kujifunzia inachukua muda mwingi kuliko njia zingine za mawasiliano, kwa hivyo mawazo ya kiishara yaliwezesha kuzuka kwa mbinu tofauti ya mawasiliano lakini haikuwa bora zaidi kuliko ya nyani. Hata hivyo iliisaidia sana ''H. sapiens'' kukua. Deacons anaanza kwa kuangalia mambo mawili makuu katika historia ya ukuaji: kutafuta chakula na mahusiano ya kingono. Anavyotambua, ushindani kwa kupata ngono hubana uwezekano wa kuwepo kwa ushirikiano wa kijamii katika spishi nyingi. Hata hivyo, kulingana na Deacon, kuna mabombwe matatu yanayojitokeza katika uzalishaji wa binadamu ambayo huwatofautisha na spishi zingine:
 
# Dume na mkejike aghalabu huchangia juhudi katika malezi ya watoto ingawa katika viwango na njia tofauti.
# Katika jamii zote, wingi wa wanaume na wanawake wazima hufungamanishwa pamoja kwa muda mrefu na haki na vikwazo vya kujihusisha katika ngono.
# Hudumisha mahusiano haya ya kingono wanapoishi katika makundi wastani, makubwa, ya kirafiki, ya kijamii, ya kike na kiume.<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, uk. 384-385</ref>
[[Jamii:Historia]]
[[Jamii:Saikolojia]]
 
 
 
[[diq:Portal:Zagon]]