Nyegere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q173128 (translate me)
NYEGERE (Honey burger) a.k.a "The fearless animal" TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE Nyegere ni mnyama mwenye wivu na mapenzi makubwa sana kwa jike lake, hutembea nyuma ya jike huku akiwa ameziba sehemu za siri za jike, hata jani tu likiigusa sehemu ya siri...
Mstari 23:
 
Nyegere huishi peke yao kwenye shimo analolichimba yeye mwenyewe. Ni wachimbaji wazuri sana. Vile vidole vyao vyenye kucha ndefu na ngumu humsaidia sana kwenye kazi hii. Hata kama ardhi ni ngumu sana, ana uwezo wa kuchimba shimo linalomtosha kujificha katika kipindi kinachokadiriwa kuwa ni dakika kumi tu.
 
NYEGERE (Honey burger)
a.k.a "The fearless animal"
TABIA NA MAMBO YAKE MENGINE
Nyegere ni mnyama mwenye wivu na
mapenzi makubwa sana kwa jike
lake, hutembea nyuma ya jike huku
akiwa ameziba sehemu za siri za jike,
hata jani tu likiigusa sehemu ya siri
ya jike litararuliwa na kupokea
kichapo cha hatari,maana wivu wake
ni kuwa jani laitakuwa "limefaidi
utamu" wa jike
Nyegere anaweza kununua ugomvi
mpaka kijiji cha sita, walina asali
ndio waathirika wakubwa wa hasira
za Nyegere,anaweza kuujambia
mzinga akala kidogo asali na
kupeleka kwa mke,mlina asali akifika
na kupakua, nyegere ana uwezo ya
kufuatilia harufu ya aliyeiba asali
yake mpaka nyumbani, na akifika
anavunja mlango na kuingia ndani
na kumvamia mwizi wa asali yake
(ukizingatia milango ya vijijini si
imara). Watu wengi vijini
wameuwawa kwa namna hii.
Huko Singida aliwahi kusafiri zaidi ya
kilomita saba usiku kwa usiku
anafuata harufu ya mtu aliyelina
mzinga wa asali aliyoijambia,
alipofika akavunja mlango na kukuta
wamelala watu wanne kwenye mkeka
mmoja,akabagua yule mwizi wake,
akagawa kichapo halafu akarudi
porini kimya kimya
Ni mnyama mdogo anayekula nyoka,
kenge, majani, matunda, kenge,
mizoga ya binadamu, chui, simba,
duma, ndege n.k...kwa kifupi anakula
kila kitu na ngozi yake ni ngumu
sana kiasi kwamba mishale na mikuki
au risasi ni ngumu kupenya..ukitaka
kumuua ni kumpiga katika fuvu la
kichwa chake na kitu kizito au risasi
kichwani,katika guines world book of
records yeye ndio the most fearless
creature on the planet mwili wake
haudhuriki na sumu ya nyoka wa
kawaida na ikitokea ameumwa na
nyoka mwenye sumu kali na sumu
ikapenya kwenye damu yake
itamfanya alale kwa masaa kadhaa tu
kisha ataendelea na mambo yake.
Ana meno makali/magumu sana
yenye uwezo wa kupasua hata jumba
la kobe. .Ashawahi kukutwa
akipigana na simba na hata tembo
na vifaru katika nyakati tofauti.
Ni mvivu katika maswala ya nyumba
yake hivyo basi anapojisikia uvivu
hujilaza sehemu yoyote
inayomfaa..ishaonekana akiwa
kajiliza katika pango la mbwa mwitu
kama kwake.
Wanapatikana India,Kusini
magharibi barani Asia na Afrika.
 
{{mbegu-mnyama}}