Tofauti kati ya marekesbisho "Utamaduni"

1,326 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Mehmooni2.jpg|thumb|Jumba la Kiajemi Hasht-Behesht.]]
[[image:Sri_Mariamman_Temple_Singapore_3_amk.jpg|thumb|200px|[[Dini]] na [[sanaa]] ni sehemu muhimu ya utamaduni wa binadamu.]]
'''Utamaduni''' ni jinsi [[binadamu]] anavyokabili [[maisha]] katika [[mazingira]] yake.<ref name="dict_cult">{{Cite web | title = Meaning of "culture" | work = Cambridge English Dictionary | accessdate = July 26, 2015 | url = http://dictionary.cambridge.org/dictionary/british/culture}}</ref> Hiyo inajumlisha [[ujuzi]], [[imani]], [[sanaa]], [[maadili]], [[sheria]], [[desturi]] n.k. ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii.{{sfn|Tylor|1974|loc=1}}<ref>{{Cite book | last1= James | first1= Paul | authorlink= Paul James (academic) | last2= with Magee | first2= Liam | last3= Scerri | first3= Andy | last4= Steger | first4= Manfred B. | title= Urban Sustainability in Theory and Practice: Circles of Sustainability | url= http://www.academia.edu/9294719/Urban_Sustainability_in_Theory_and_Practice_Circles_of_Sustainability_2015_ | year= 2015 | publisher= Routledge | location= London | page = 53}}</ref>
'''Utamaduni''' ni jinsi [[binadamu]] anavyokabili [[maisha]] katika [[mazingira]] yake.
 
Kama sifa maalumu ya binadamu, inayomtofautisha na [[wanyama]], utamaduni ni suala la msingi katika [[anthropolojia]], ukihusisha yale yote yanayopokezwa katika jamii fulani, kama vile [[lugha]], [[fasihi]], mafungamano, [[ndoa]], [[michezo]], [[ibada]], [[sayansi]] na [[teknolojia]].<ref name="Macionis, Gerber and 2010 53">{{cite book|last=Macionis, Gerber|first=John, Linda|title=Sociology 7th Canadian Ed|year=2010|publisher=Pearson Canada Inc.|location=Toronto, Ontario|page=53}}</ref>
 
==Ufafanuzi==
== Dhana za karne ya 20 ==
=== Anthropolojia ya Kimarekani ===
Ingawa wanaanthropolojia ulimwenguni huurejelea ufafanuzi wa Taylor, katika karne ya 20 dhana ya utamaduni ilijitokeza kama [[mhimili]] wa [[Anthropolojia ya Kimarekani]], ambapo utamaduni ulifafanuliwa kama uwezo wa kiubia wa binadamu wa kuainisha na kusimbika tajiriba zao kiishara na kuwasilisha kiishara tajiriba zilizosimbikwa kijamii. Anthropolojia ya Kimarekani imepangiliwa katika mawanda manne. Kila mojawapo huchangia sana [[utafiti]] wa utamaduni. Mawanda yenyewe ni: [[anthropolojia ya kibiolojia]], [[Isimuisimu]], [[anthropolojia ya kiutamaduni]], na [[akiolojia]]. Utafiti katika mawanda haya umewaathiri kwa kiwango fulani wanaathropolojia wanaofanya kazi katika nchi zingine.
 
==== Anthropolojia ya kibiolojia: ukuaji wa utamaduni ====
 
[[Picha:Lucy blackbg.jpg|thumb|upright|left|[[Kiunzi]] cha Lucy, jamii ya Australopithecus afarensis]]
[[Picha:Human evolution chart-en.svg|thumb|left|Ramani wa uenezi wa hominidiviumbe wa jamii ya binadamu.]]
Hata hivyo [[istilahi]] “utamaduni” inaweza kuwahusu wanyama wasio binadamu ikiwa tutafafanua utamaduni kama tabia zote zilizoigwa au kufundishwa. Katika anthropolojia halisi wasomi hudhania ya kwamba ufafanuzi uliobanwa ndio unaofaa. Watafiti hawa wanajihusisha na namna binadamu walivyokuwa na hata kuwa tofauti na spishi zingine. Ufafanuzi wa uhakika kabisa wa utamaduni ambao unapuuza tabia za kijamii ambazo si za kibinadamu utawaruhusu wanaathropolojia kuchunguza jinsi binadamu walivyokuza uwezo wao wa kipekee wa “utamaduni”.
 
* (c) ubunaji na kushiriki katika mipangilo na asasi changamano.<ref name="autogenerated2"> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 510</ref>
 
Kulingana na mwanasaikolojia maendeleo Michael Tomasello ni vigumu sana kuelezea "chimbuko la tabia na stadi" hizi. Maadam binadamu wa sasa na sokwe wanatofautiana sana ikilinganishwa na farasi na pundamilia, au panya. Ukuaji wa tofautatofauti hizi umejiri katika muda mfupi, “ni lazima tutafute tofauti ndogo ambazo zitaleta tofauti kubwa - uasilishaji wa kiwango fulani au viwango vidogo vya uasilishaji, ambavyo vimebadili mchakato wa ukuaji wa kifikira wa nyani kwa njia madhubuti sana." Kulingana na Tomasello, jibu kwa swali hili ni lazima liunde msingi kwa ufafanuzi wa kisayansi wa "utamaduni wa binadamu."<ref name="autogenerated2"/>
 
Katika mapitio ya hivi karibuni ya tafiti kubwa juu ya matumizi ya vifaa vya binadamu na nyani, mawasiliano na mbinu za kujifunza; Tomasello anadai kuwa maendeleo makubwa kuhusu nyani (lugha, teknolojia changamano, mipangilio changamano ya kijamii,) yote haya ni matokeo ya binadamu kuweka pamoja rasilimali za akili. Hii inajulikana kama “the ratchet effect” (athari ya ratchet): uvumbuzi unasambaa na kutumika pamoja na kikundi na “kubwiwa na vijana ambao huwawezesha kusalia katika hali yake mpya na bora kikundini hadi mambo bora zaidi yatokee." Hoja muhimu hapa ni kwamba watoto wanazaliwa wakiwa weledi katika aina fulani ya mafunzo ya kijamii, hii huunda mazingira mazuri ya uvumbuzi wa kijamii, ambayo huyafanya yaweze kuhifadhiwa na kupitishwa kwa vizazi vipya kuliko uvumbuzi wa watu binafsi.<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 512</ref> Kwa mujibu wa Tomasello mafunzo ya kijamii ya binadamu - aina ya mafunzo yanayotofautisha binadamu na nyani na yaliyochangia pakubwa katika ukuaji wa binadamu - unajikita katika elementi mbili: kwanza, kile anachokiita “mafunzo ya kuiga”, (tofauti na mafunzo ya uigaji wa hiari, sifa ya nyani) na pili, kwa kuwa binadamu wanawasilisha tajiriba zao kiishara (na wala siyo kwa njia wazi inayojulikana kama wafanyavyo nyani). Pamoja, elementi hizi huwawezesha binadamu kuwa wabunifu na kuhifadhi uvumbuzi muhimu. Ni mchakato huu unaotoa “the ratchet effect”.
 
[[Picha:chimpanzee mom and baby.jpg|upright|thumb|Sokwe mama na mtoto]]
[[Picha:Chopping tool.gif|thumb|Kifaa cha kuchonga]]
[[Picha:Bifaz-1 del Trabancos.gif|thumb|Unretouched biface]]
Wanaisimu [[Charles]] [[Hockett]] na R. Ascher wametambua sifa kumi na tatu zizoundwa za lugha, baadhi zinatumiwa pamoja na hali nyingine za mawasiliano ya wanyama. Sifa moja ambayo inatofautisha lugha ya binadamu ni hali yake ya juu ya uzalishi; kwa maneno mengine, wasemaji walio na umilisi mzuri wa lugha wana uwezo kutoa matamko asilia yasiyohesabika. Uzalishaji huu inaelekea unawezekana kupitia sifa chache muhimu sana ambazo hubainika tu katika lugha ya binadamu. Moja ni “uwili wa mabombwe”,hii ni kumaanisha ya kwamba huhusisha utamkaji wa michakato mingi bayana, kila mchakato huwa na sheria zake: kuunganisha fonimu kuunda mofimu, kuunganisha mofimu kuunda maneno na kuunganisha maneno kuunda sentensi. Hii ni kumaanisha ya kwamba mtu anaweza kubwiya ishara na sheria chache kuunda vipashio vingi vya lugha. Elementi nyingine muhimu ni kuwa lugha ya binadamu hutumia ishara: sauti za maneno (au maumbo yao, zinapoandikwa) hazina uhusiano wowote na kile yanacho kiwakilisha.<ref> CF Hockett na R. Ascher 1964 "The Human Mapinduzi" katika ''Hali Anthropology'' 4: 135-168.</ref> Kwamba maneno yana maana ni suala la ukubalifu. Kwa kuwa maana ya maneno ni ile ambayo haijapangwa. Neno lolote linaweza kuwa na maana nyingi, na kitu fulani kinaweza kurejelewa kwa kutumia maneno mbalimbali. Neno lenyewe linalotumiwa kuelezea kitu hutegemea muktadha, lengo la msemaji, na uwezo wa msikilizaji wa kupima haya kikamilifu. Kama aelezavyo Tomasello,
 
: Mtumizi wa lugha moja huutazama mti kabla ya kutaka makini ya mzungumziwa kuhusu huo mti. Ni lazima aamue kutegemea alivyoyapima maarifa na matarajio ya mzungumziwa, kama atasema “mti ule pale” “huo”, “ni wa aina ya oak”, “mti huo una miaka mia moja”, “mti wa bagswing”, “hicho kitu kilicho mbele”, “pambo”, “fedheha”, au idadi yoyote ya matamko ... Na maamuzi haya hayafanywi kwa mujibu wa lengo la msemaji la moja kwa moja kuhusiana na kitu au shughuli husika bali yanafanywa kwa mujibu wa lengo lake kuhusiana na mapendeleo ya msikilizaji kuhusu kitu au shughuli.
Hii ndiyo maana uelewaji wa kiishara na mawasiliano pamoja na kujifunza kwa kuiga unaendana.<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 517.</ref>
 
 
: Pale tabia fulani muhimu zinaposambaa katika kikundi na kuwa muhimu kwa matumizi, itasababisha shinikizo kwa tabia za urithi wa uzazi ambazo huchangia sana katika usambazaji wake ... vifaa vya mawe na taimboliki ambavyo mwanzoni vilipatikana kupitia kwa uwezo mwepesi wa nyani kujifunza. Hii iliwalazimisha watumizi kwa mtindo huo mpya wa teknolojia. Mbali na kuwa mbinu mpya, hizi tabia za kutafuta chakula na mpangilio wa jamii zimekuwa elementi za uasilisho mpya changamano. Usuli wa “ubinadamu” unaweza kufafanuliwa kama hatua katika ukuaji wetu ambapo vifaa hivi vilikuwa chanzo kikuu katika uteuzi wa mili na bongo zetu. Hii ndiyo kuelezea hali ya ''homo symbolicus.'' <ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 344</ref>
 
Kulingana na Deacon, hii ilijiri kati ya miaka milioni 2 na 2.5 iliyopita wakati tulipokuwa na ushahidi wa fosili ya kwanza ya matumizi ya vifaa vya mawe na mwanzo wa kuongezeka katika kimo cha akili. Lakini ni ukuaji wa lugha ya kiishara ambao ni kisababishi - na matokeo - cha mtindo huu.<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 340</ref> Hakika Deacon anapendekeza kuwa ''Australopithecines,'' kama walivyo nyani wa sasa walitumia vifaa; inawezekana kuwa zaidi ya mamilioni ya miaka ya historia ya ''Australopithecine'' vikosi kadhaa vilikuza mifumo ya mawasiliano ya kiishara. Kilichokuwa muhimu, mojawapo ya vikundi hivi kilibadilisha mazingira yake hivi kwamba kilianzisha uteuzi wa uwezo tofauti kabisa wa kujifunza kuliko ilivyoathiri spishi zilizotangulia."<ref> Terrence Shemasi 1997 ''ishara Spishi: The Coevolution wa lugha na Brain'' New York na London: WW Norton, s. 347</ref> Kikosi au kikundi hiki kilianzisha mchakato wa Baldwin (athari ya ratchet) uliosababisha ukuaji wake kwa jenasi iitwayo ''Homo.''