Utamaduni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
'''Utamaduni''' ni jinsi [[binadamu]] anavyokabili [[maisha]] katika [[mazingira]] yake.<ref name="dict_cult">{{Cite web | title = Meaning of "culture" | work = Cambridge English Dictionary | accessdate = July 26, 2015 | url = http://dictionary.cambridge.org/dictionary/british/culture}}</ref> Hiyo inajumlisha [[ujuzi]], [[imani]], [[sanaa]], [[maadili]], [[sheria]], [[desturi]] n.k. ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii.<ref>{{Cite book | last1= James | first1= Paul | authorlink= Paul James (academic) | last2= with Magee | first2= Liam | last3= Scerri | first3= Andy | last4= Steger | first4= Manfred B. | title= Urban Sustainability in Theory and Practice: Circles of Sustainability | url= http://www.academia.edu/9294719/Urban_Sustainability_in_Theory_and_Practice_Circles_of_Sustainability_2015_ | year= 2015 | publisher= Routledge | location= London | page = 53}}</ref>
 
Kama sifa maalumu ya binadamu, inayomtofautisha na [[wanyama]], utamaduni ni suala la msingi katika [[anthropolojia]], ukihusisha yale yote yanayopokezwa katika jamii fulani, kama vile [[lugha]] inayounganisha watu wanaohusika nao, [[fasihi]], mafungamano, [[ndoa]], [[michezo]], [[ibada]], [[sayansi]] na [[teknolojia]].<ref name="Macionis, Gerber and 2010 53">{{cite book|last=Macionis, Gerber|first=John, Linda|title=Sociology 7th Canadian Ed|year=2010|publisher=Pearson Canada Inc.|location=Toronto, Ontario|page=53}}</ref>
 
Utamaduni ulioendelea unaitwa pia "[[ustaarabu]]".
 
Kila utamaduni unabadilikabadilika mfululizo: ndani ya watu husika, baadhi wanachangia na kuunga mkono mabadiliko, wakati wengine wanayakataa. Ujuzi mpya na teknolojia, pamoja na mahitaji ya [[uchumi]], ni kati ya mambo yanayosukuma zaidi kubadili kiasi fulani utamaduni.
 
==Ufafanuzi==
Line 28 ⟶ 32:
 
== Dhana za karne ya 19 ==
[[Picha:Johann gottfried herder.jpg|thumb|right|upright|Herder Johann aitwayeG. Herder alitia maanani tamaduniutamaduni zawa kitaifa.]]
[[Picha:Adolf Bastian.jpg|thumb|right|upright|Adolf Bastian kuendelezwaalikuza kwa mtindomtazamo wa zima utamadunikimataifa.]]
=== Ulimbwende wa Kijerumani ===
Mwanafalsafa wa Ujerumani [[Immanuel Kant]] ([[1724]]-[[1804]]) aliibuka na ufafanuzi wa binafsi wa "[[Falsafa ya mwangaza]]" akiulinganisha na dhana ya ''bildung'': "kulingana naye, enzi ya nuru ni kule kutoka kwa binadamu katika hali ya [[uchanga]]."<ref> Immanuel Kant 1974 "Kujibu Swali: Ni nini Kutaalamika?" (Kwa [[Kijerumani]]: "Beantwortung der Frage: Was ist Aufklärung?") ''Berlinische Monatsschrift,'' Desemba (Berlin Monthly)</ref> Alielezea ya kwamba hali ya uchanga haitokani na kukosa kuelewa bali hutoka katika kukosa [[ujasiri]] wa kufikiria huria. Kutokana na hali hii ya [[woga]] wa kiusomi, Kant alihimiza: ''Sapere aude,'' "thubuthu kuwa na [[hekima]]!"
 
[[Johann Gottfried Herder]] ([[1744]]-[[1803]]) alielezea ubunifu wa binadamu kuwa muhimu kama kufikiria kwake ingawa hudhihirika katika njia mbalimbali. Herder alipendekeza namna ya pamoja ya ''bildung'': "kulingana na Herder, bildung ni “jumla ya tajiriba ambazo hutoa utambulisho thabiti na dhana ya pamoja ya majaaliwa ya watu.”<ref> Michael Eldridge, "The Kijerumani Bildung Mapokeo" [http://www.philosophy.uncc.edu/mleldrid/SAAP/USC/pbt1.html UNC Charlotte]</ref>
 
Mnamo mwaka [[1795]], [[mwanaisimu]] na mwanafalsafa [[Wilhelm Von Humboldt]] ([[1767]]-[[1835]]) alitoa wito kuanzisha anthropolojia ambayo iunganishe mawazo ya Kant na Herder. Katika enzi ya Kilimbwende, wasomi wa Kijerumani, hasa wale walioshughulikia muungano wa kitaifa - kama vile mapambano ya kitaifa ya kuanzisha [[dola la Ujerumani]] kutoka kwa vidola vidogovidogo na mapambano ya kitaifa ya makabila madogo dhidi ya himaya ya [[Austria-Hungaria]] - walikuza dhana ya utamaduni ya "[[mwonoulimwengu]]". Kulingana na [[shule]] hii ya mawazo, kila [[kabila]] lina mwonoulimwengu wake ambao hauwezi kulinganishwa na mionoulimwengu ya makundi mengine ya watu. Ingawa maoni hayo yalikuwa husishi kuliko maoni ya hapo awali, mwelekeo huu kuhusu utamaduni bado ulikuwa na milinganisho ya "ustaarabu" na "ushenzi" au tamaduni za "kikabila".
 
Mnamo mwaka [[1860]], [[Adolf Bastian]] ([[1826]]-[[1905]]) alipigania "umoja wa binadamu kisaikolojia". Alipendekeza kwamba, mlinganisho wa kisayansi wa jamii zote za binadamu udhihirishe mionoulimwengu tofauti inayojumuisha elementi sawa za kimsingi. Kulingana na Bastian, jamii zote za binadamu zina "mawazo sawa ya kimsingi" ''(Elementargedanken)''; tamaduni sawa au tofauti za "mawazo ya jadi" ''(Volkergedanken)'', haya ni mabadiliko ya kienyeji yanayofanyiwa mawazo ya kimsingi.<ref> "Adolf Bastian", ''Sayansi Leo katika Historia;'' "Adolf Bastian", [[Encyclopaedia Britannica|''Encyclopaedia Britannica'']] </ref> Ufafanuzi huu umechangia pakubwa kuelewa utamaduni siku hizi. [[Franz Boaz]] ([[1858]]-[[1942]]) alipata mafunzo katika utamaduni huu na ndiye aliyeyapeleka mawazo haya [[Marekani]] alipohamia kutoka Ujerumani.
 
=== Ulimbwende wa Kiingereza ===
[[Picha:Matthew Arnold - Project Gutenberg eText 16745.jpg|thumb|left|upright|[[Mshairi]] na [[mwandishi]] wa [[insha]] wa [[Uingereza]] [[Matthew Arnold]] alitumia neno "utamaduni" kumaanisha hali ya juu sana ya ubora wa binadamu.]]
Line 44 ⟶ 59:
 
Mnamo mwaka [[1870]] [[Edward Taylor]] ([[1832]]-[[1917]]) aliyatumia mawazo haya ya utamaduni wa juu na wa chini kupendekeza nadharia ya ukuaji wa dini. Kulingana na nadharia hiyo, dini hukua kutoka mfumo wa kuabudu [[miungu]] hadi [[ibada]] ya [[Mungu]] [[mmoja]].<ref> McClenon, p.528-529</ref> Aliielezea dini kama jumla ya shughuli zinazozitambulisha jamii za kibinadamu. Maoni hayo huchangia pakubwa kuelewa dhana ya utamaduni kwa sasa.</ref>
 
[[Picha:Johann gottfried herder.jpg|thumb|right|upright|Herder Johann aitwaye maanani tamaduni za kitaifa.]]
[[Picha:Adolf Bastian.jpg|thumb|right|upright|Adolf Bastian kuendelezwa kwa mtindo wa zima utamaduni.]]
 
=== Ulimbwende wa Kijerumani ===
Mwanafalsafa wa Ujerumani [[Immanuel Kant]] ([[1724]]-[[1804]]) aliibuka na ufafanuzi wa binafsi wa "[[Falsafa ya mwangaza]]" akiulinganisha na dhana ya ''bildung'': "kulingana naye, enzi ya nuru ni kule kutoka kwa binadamu katika hali ya [[uchanga]]."<ref> Immanuel Kant 1974 "Kujibu Swali: Ni nini Kutaalamika?" (Kwa [[Kijerumani]]: "Beantwortung der Frage: Was ist Aufklärung?") ''Berlinische Monatsschrift,'' Desemba (Berlin Monthly)</ref> Alielezea ya kwamba hali ya uchanga haitokani na kukosa kuelewa bali hutoka katika kukosa [[ujasiri]] wa kufikiria huria. Kutokana na hali hii ya [[woga]] wa kiusomi, Kant alihimiza: ''Sapere aude,'' "thubuthu kuwa na [[hekima]]!"
 
[[Johann Gottfried Herder]] ([[1744]]-[[1803]]) alielezea ubunifu wa binadamu kuwa muhimu kama kufikiria kwake ingawa hudhihirika katika njia mbalimbali. Herder alipendekeza namna ya pamoja ya ''bildung'': "kulingana na Herder, bildung ni “jumla ya tajiriba ambazo hutoa utambulisho thabiti na dhana ya pamoja ya majaaliwa ya watu.”<ref> Michael Eldridge, "The Kijerumani Bildung Mapokeo" [http://www.philosophy.uncc.edu/mleldrid/SAAP/USC/pbt1.html UNC Charlotte]</ref>
 
Mnamo mwaka [[1795]], [[mwanaisimu]] na mwanafalsafa [[Wilhelm Von Humboldt]] ([[1767]]-[[1835]]) alitoa wito kuanzisha anthropolojia ambayo iunganishe mawazo ya Kant na Herder. Katika enzi ya Kilimbwende, wasomi wa Kijerumani, hasa wale walioshughulikia muungano wa kitaifa - kama vile mapambano ya kitaifa ya kuanzisha [[dola la Ujerumani]] kutoka kwa vidola vidogovidogo na mapambano ya kitaifa ya makabila madogo dhidi ya himaya ya [[Austria-Hungaria]] - walikuza dhana ya utamaduni ya "[[mwonoulimwengu]]". Kulingana na [[shule]] hii ya mawazo, kila [[kabila]] lina mwonoulimwengu wake ambao hauwezi kulinganishwa na mionoulimwengu ya makundi mengine ya watu. Ingawa maoni hayo yalikuwa husishi kuliko maoni ya hapo awali, mwelekeo huu kuhusu utamaduni bado ulikuwa na milinganisho ya "ustaarabu" na "ushenzi" au tamaduni za "kikabila".
 
Mnamo mwaka [[1860]], [[Adolf Bastian]] ([[1826]]-[[1905]]) alipigania "umoja wa binadamu kisaikolojia". Alipendekeza kwamba, mlinganisho wa kisayansi wa jamii zote za binadamu udhihirishe mionoulimwengu tofauti inayojumuisha elementi sawa za kimsingi. Kulingana na Bastian, jamii zote za binadamu zina "mawazo sawa ya kimsingi" ''(Elementargedanken)''; tamaduni sawa au tofauti za "mawazo ya jadi" ''(Volkergedanken)'', haya ni mabadiliko ya kienyeji yanayofanyiwa mawazo ya kimsingi.<ref> "Adolf Bastian", ''Sayansi Leo katika Historia;'' "Adolf Bastian", [[Encyclopaedia Britannica|''Encyclopaedia Britannica'']] </ref> Ufafanuzi huu umechangia pakubwa kuelewa utamaduni siku hizi. [[Franz Boaz]] ([[1858]]-[[1942]]) alipata mafunzo katika utamaduni huu na ndiye aliyeyapeleka mawazo haya [[Marekani]] alipohamia kutoka Ujerumani.
 
== Dhana za karne ya 20 ==
Line 111 ⟶ 114:
[[Picha:kidsindoorwayC.jpg|thumb|left|Watoto wa Yerusalemu]]
[[Picha:Children in Namibia(1 cropped).jpg|thumb|left|Watoto nchini Namibia]]
Aina ya kujifunza mahususi kwa watoto ni ile ya “kujifunza kwa kuiga”: hii inamaanisha kukirudia tena kitendo kilichoeleweka maksudimakusudi."<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 512</ref> Watoto wachanga huanza kudhihirisha namna hii ya kujifunza kati ya [[umri]] wa miaka [[tisa]] na [[kumi na mbili]]. Huu huwa wakati ambapo watoto huweka [[akili]] yao kwa kifaa fulani huku wakimtazama [[mtu mzima]] anavyofanya mambo ili waige." <ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika ''Annual Review of Anthropology'' ujazo. 28: 513</ref> Kuna machapisho mengi kuhusu hali hii na hujulikana kama “mahusiano ya pamoja” au “makini ya pamoja.”<ref> R. Bakerman na Yale Adamson 1984 "Kuratibu makini na watu na vitu katika mama-watoto wachanga na watoto wachanga peer mwingiliano" katika ''Maendeleo ya Watoto'' 55: 1278-1289</ref><ref> C. Moore na P. Dunham 1995 ''Pamoja Attention: Its Chimbuko na Majukumu katika Maendeleo.'' Hillsdale, NJ: Erlbaum Press.</ref> Muhimu kwa hali ni ule uwezo wa watoto kuweza kutambua wengine kama “wakala wa maksudi”makusudi” yaani watu walio na uwezo wa kudhibiti tabia yao inayojiri kimaumbile na wale walio na malengo na wanafanya maamuzi fulani ya kitabia ili waweze kutimiza malengo hayo."<ref> M. Tomasello 1995 "Pamoja makini kama cognition kijamii" katika ''Pamoja Attention: Its Chimbuko na Majukumu katika Maendeleo,'' ed. C. Moore na P. Dunham. Hillsdale NJ: Erlbaum Press, uk. 103-130</ref>
 
Ukuzaji wa stadi katika makini ya pamoja kufikia mwishoni mwa mwaka wa kwanza wa mtoto hutoa msingi wa ukuzaji wa mafunzo ya kuiga katika mwaka wa pili.

Katika utafiti uliohusu watoto wa miezi kumi na minne watoto hao waliuiga mtindo wa mtu mzima wa kuzima taa hata ingawa wangeweza kutumia njia rahisi kutenda kitendo hicho.<ref> WC Meltzoff 1988 "Infant kuiga baada ya wiki moja kuchelewa: kumbukumbu ya muda mrefu kwa vitendo na riwaya nyingi uchochezi" katika ''Developmental Psychology'' 24: 470-476</ref> Na katika utafiti mwingine uliohusisha watoto wa umri wa miezi 16 waliotangamana na watu wazima na kubadilishabadilisha mkururo changamano wa miendo iliyoonekana kuwa ya maksudi ikilinganishwa na ile iliyojiri kiajali; watoto hawa waliiga ile miendo ilioonekana kuwa ya kiajali.<ref> M. Seremala, N. Akhtar, M. Tomasello 1998 "umri wa miezi kumi na sita wachanga differentially avsiktliga na ajali kuiga matendo" katika ''Infant Maendeleo kitabia'' 21: 315-330</ref> Na katika utafiti uliowahusisha watoto wa umri wa miezi 18 ilionekana kuwa watoto waliiga vitendo ambavyo watu wazima walikusudia kufanya ingawa kwa namna moja walishindwa kufanya.<ref> A. Meltzoff 1995 "Kuelewa nia ya wengine: re-enactment ya lengo vitendo kwa 18-month-old watoto" katika Developmental Psychology ''31: 838-850'' </ref>
 
Tomasello anasistizaanasisitiza kuwa kujifunza huku kwa kuiga ‘kimsingi kunategemea sana tabia ya watoto ya kujitambulisha na watu wazima na uwezo wao wa kutofautisha malengo ya vitendo vya watu wengine na njia zilizotumika kuyafikia malengo hayo."<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 514</ref> Anakuita kujifunza kwa aina hii kujifunza kwa kitamaduni kwa sababu mtoto hajifunzi tu kuhusu vitu kutoka kwa watu wengine bali anajifunza kupitia kwao - ni lazima afahamu kitu kuhusu mtazamo wa watu wazima kuhusu hali fulani ili aweze kujifunza matumizi ya tendo lilokusudiwa." <ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 515</ref> <ref> Tomasello, M., Kruger, A. &amp; Ratner, H. 1993 "Utamaduni wa kujifunza" ''Behavioral na Brain Sciences'' 16, 495-552</ref> Anahitimisha kwamba sifa kuu ya kujifunza kwa kitamaduni ni kuwa hufanyika tu wakati ambapo mtu anapowaelewa watu wengine kama mawakala wa makusudi kama wana mtazamo fulani kuhusu ulimwengu unaoweza kufuatwa, kuelekezwa na wa pamoja.<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 516</ref>
 
Kujifunza kwa kuiga kwa hiari na kule kujifunza kwa kuiga tu ni uasilisho wa aina mbili tofauti ambao unaweza kupimwa katika mazingira yake mapana na katika mikitadha ya ukuaji. Katika jaribio moja sokwe na watoto wa miaka miwili walitengwa na kukabidhiwa kifaa kilichofanana na reki na kitu kilichokuwa hakifikiki kimasafa. Watu wazima wawili tofauti wakaonyesha njia mbili tofauti za kutumia kifaa hicho, njia moja ni ya kukitumia kifaa hicho vizuri na nyingine, kutokitumia vizuri sana. Sokwe waliweza kukitumia vizuri wakifuata njia zote mbili. Watoto wengi wa binadamu waliiga njia moja tu ambayo ilitumiwa na watu wazima. Kama ulinganishaji ungetumiwa kwa mujibu wa matokeo haya ingehitimishwa kwamba sokwe ni werevu zaidi ya binadmu. Ukizingatia mtazamo wa ukuaji, wote ni werevu na wana aina tofauti za werevu ulioasilishwa katika mazingira tofauti.<ref name="autogenerated3"/> Mbinu za kujifunza za sokwe zinafaa zaidi katika mazingira thabiti yasiyohitaji sana ushirikiano wa kijamii (ukilinganisha na binadamu). Mbinu za kujifunza kwa binadamu zinafaa zaidi katika mazingira changamano ya kijamii ambamo kuelewa nia za watu wengine huenda kukawa muhimu zaidi kuliko kutimiza majukumu fulani. Tomasello anasema kuwa mkakati huu imefanya inawezekana "ratchet athari" kwamba enabled binadamu na kufuka tata mifumo ya kijamii ambayo enabled binadamu kukabiliana na mazingira karibu kila kimwili juu ya uso wa dunia.<ref> Michael Tomasello 1999 "The Human Anpassning kwa Utamaduni" katika Annual Review of Anthropology ujazo. 28: 520-521</ref>
Line 179 ⟶ 185:
[[Picha:CatalHoyukSouthArea.JPG|thumb|Machimbo katika eneo la kusini mwa Catal Hoyuk]]
[[Picha:Museum of Anatolian Civilizations003.jpg|thumb|Michoro ya ukutani ya kifahali, mnyama aina ya paa na binadamu kutoka Catalhoyuk, milenia ya sita KK(Kabla ya Kristo);Museum of Anatolian Civilisations,Ankara,Turkey]]
Katika akiolojia ya karne ya 19 kulikuwa na nyongeza ya historia na lengo la wanaakiolojia lilikuwa kutambua mabaki kulingana na aina zake pamoja na muundo wa miamba, hivyo kuweza kuwekea alama zinapopatikana na wakati. Franz Boaz alipata ya kwamba akiolojia iwe mojawapo ya mawanda manne ya anthropolojia ya Kimarekani na mijadala miongoni mwa wanaakiolojia mara nyingi imelingana na mijadala miongoni mwa wanaanthropolojia wa kitamaduni. Katika [[miaka ya 1920]] na 1930, mwanaakiolojia wa Kiaustralia-Uingereza V. Gordon Childe na mwanaakiolojia wa Kimarekani W. C. McKern kivyao waliacha mtindo wa kuuliza maswali kuhusu tarehe ya mabaki, watu waliotoa tarehe hiyo - wanaakiolojia hufanya kazi bega kwa bega na wanahistoria, kazi za kihistoria husaidia kujibu maswali haya, lakini pale kazi za kihistoria zinapokosekana, wanaakiolojia hubuni mbinu mpya. Childe na McKern walijikita kwa kupangilia mahusiano miongoni mwa vitu vilivyopatikana kwa pamoja, kazi yao iliweka msingi wa ruwaza iliyo na sura tatu:
 
# Kila baki ambalo lina sura, umbo na sifa za kiteknolojia (k.m kishale)
Line 186 ⟶ 192:
Childe alidai kuwa “kujirudiarudia kwa vijenzi vya mabaki” ni “utamaduni wa kiakiolojia."<ref> V. Gordon Childe 1929 ''The Danube katika Prehistory'' Oxford: Clarendon Press</ref><ref> By R. Lee Lyman na Michael J. O'Brien, 2003 ''WC McKern na Midwestern Taxonomic Method.'' University of Alabama Press, Tuscaloosa</ref> Childe na wengine waliuona “kila utamaduni wa kiakiolojia kama onyesho la vitu vilivyomilikiwa na kundi maalumu la ''watu'' ."<ref> Colin Renfrew na Paulo Bahn, 2008 ''Archeology: nadharia, mbinu na Mazoezi'' toleo Tano. New York: Thames na Hudson. s. 470</ref>
 
Mnamo mwaka [[1948]] Walter Taylor alipangilia mbinu na dhana ambazo wanaakiolojia walikuwa wamebuni na akapendekeza ruwaza ya jumla ya mchango wa akiolojia kwa maarifa ya tamaduni. Alianza kwa kuelewa kama zao la shughuli ya fikira ya binadamu na msisitizo wa Boaz kuhusu maana ya kibinafsi ya vitu kwa kutegemea mikitadha yao ya kitamaduni. Alifafanua utamaduni kama “tukio la kiakili, linalohusisha yaliyomo akilini, siyo vitu au tabia inayoweza kuonekana.”<ref> Walter Taylor 1948 ''Masomo ya Archeology A'' Memoir 69, American Anthropological Association, reprinted, Carbondale Il: Southern Illinois University Press, 1967. s. 96</ref> Hatimaye aliweza kuunda ruwaza ya sura tatu inayounganisha anthropolojia na akiolojia ambayo aliita conjunctive archeology (akiolojia unganishi):
 
# Utamaduni ambao hauonekani na usio wa vifaa
# Tabia ambazo zinatokana na utamaduni uisioonekana wala siyo wa vifaa
# Vifaa kama vile mabaki na ramani za nyumba ambazo ni matokeo ya tabia na vifaa
Vifaa vya mabaki vilikuwa ni masalio ya utamaduni na wala siyo utamaduni wenyewe.<ref> Walter Taylor 1948 ''Masomo ya Archeology A'' Memoir 69, American Anthropological Association, reprinted, Carbondale Il: Southern Illinois University Press, 1967. s. 100</ref>
Vifaa vya mabaki vilikuwa ni masalio ya utamaduni na wala siyo utamaduni wenyewe.<ref> Walter Taylor 1948 ''Masomo ya Archeology A'' Memoir 69, American Anthropological Association, reprinted, Carbondale Il: Southern Illinois University Press, 1967. s. 100</ref> Hoja ya Taylor ilikuwa kwamba rekodi za ramani za nyumba zinaweza kuchangia kwa maarifa ya kiaanthropolojia lakini ikiwa wanaakiolojia watabadilisha kazi upya siyo kwa kuchimbua mabaki na kurekodi mahali na wakati zinapopatikana bali kama hitimisho kutoka tabia za mabaki ya vifaa kupitia kwa namna zilivyotolewa na kutumiwa na kuhitimisha kutoka kwa tabia hizi shughuli za kiakili za watu. Ingawa wanaanthropolojia wengi waliungama kuwa utafiti wao ulikwa sehemu ya anthropolojia, mpango wa Taylor haukutekelezwa kikamilifu. Sababu moja ni kwamba ruwaza yake ya sura tatu ya mahitimisho ilihitaji utafiti mwingi wa nyanjani na uchanganuzi wa maabara ndipo iweze kufanya kazi.<ref> Patty Jo Watson 1995 "Archeology, Anthropology, na Utamaduni Dhana" katika ''American mwanaanthropolojia'' 97 (4) p.685</ref> Isitoshe, maoni yake kuwa mabaki ya vifaa siyo utamaduni; na mara mbili hivi yalitolewa kutoka kwa utamaduni, kuliiifanya akiolojia kuwa mbali na anthropolojia ya utamaduni.<ref> Robert Dunnel 1986 "Waliofariki watano wa Marekani Archeology" katika ''kipindi Archeology Marekani na Future: A Sherehe za Archeology Society kwa Marekani, 1935-1985.'' ''D. Meltzer na J. Sabloff, eds. '' ''Washington DC: Smithsonian Institution Press. p.36'' </ref>
 
Vifaa vya mabaki vilikuwa ni masalio ya utamaduni na wala siyo utamaduni wenyewe.<ref> Walter Taylor 1948 ''Masomo ya Archeology A'' Memoir 69, American Anthropological Association, reprinted, Carbondale Il: Southern Illinois University Press, 1967. s. 100</ref> Hoja ya Taylor ilikuwa kwamba rekodi za ramani za nyumba zinaweza kuchangia kwa maarifa ya kiaanthropolojia lakini ikiwa wanaakiolojia watabadilisha kazi upya siyo kwa kuchimbua mabaki na kurekodi mahali na wakati zinapopatikana bali kama hitimisho kutoka tabia za mabaki ya vifaa kupitia kwa namna zilivyotolewa na kutumiwa na kuhitimisha kutoka kwa tabia hizi shughuli za kiakili za watu. Ingawa wanaanthropolojia wengi waliungama kuwa utafiti wao ulikwa sehemu ya anthropolojia, mpango wa Taylor haukutekelezwa kikamilifu. Sababu moja ni kwamba ruwaza yake ya sura tatu ya mahitimisho ilihitaji utafiti mwingi wa nyanjani na uchanganuzi wa maabara ndipo iweze kufanya kazi.<ref> Patty Jo Watson 1995 "Archeology, Anthropology, na Utamaduni Dhana" katika ''American mwanaanthropolojia'' 97 (4) p.685</ref> Isitoshe, maoni yake kuwa mabaki ya vifaa siyo utamaduni; na mara mbili hivi yalitolewa kutoka kwa utamaduni, kuliiifanya akiolojia kuwa mbali na anthropolojia ya utamaduni.<ref> Robert Dunnel 1986 "Waliofariki watano wa Marekani Archeology" katika ''kipindi Archeology Marekani na Future: A Sherehe za Archeology Society kwa Marekani, 1935-1985.'' ''D. Meltzer na J. Sabloff, eds. '' ''Washington DC: Smithsonian Institution Press. p.36'' </ref>
Mwaka 1962 Lewis Bindford, mwanafunzi wa zamani wa Leslie White alipendekeza ruwaza mpya ya akiolojia ya kiaathropolojia ambayo aliita “Akiolojia Mpya” au “Akiolojia ya Mchakato’, hii aliikita kwa ufafanuzi wa White wa utamaduni kama “njia zaidi za mwili na wala siyo akili za kujisilisha kwa kiumbe.”<ref> Lewish Binford 1962 "Archeology kama Anthropology" katika ''zamani wa Marekani 28 (2): 218; se White 1959'' The Evolution ya Utamaduni ''New York: McGraw Hill p. 8'' </ref> Ufafanuzi huu ulimwezesha Bindford kutambua akiolojia kama uwanda muhimu wa kufuatilia njia ya utafiti iliyotumiwa na Julian Steward katika ekolojia ya utamaduni:
 
Mwaka [[1962]] Lewis Bindford, mwanafunzi wa zamani wa Leslie White alipendekeza ruwaza mpya ya akiolojia ya kiaathropolojia ambayo aliita “Akiolojia Mpya” au “Akiolojia ya Mchakato’, hii aliikita kwa ufafanuzi wa White wa utamaduni kama “njia zaidi za mwili na wala siyo akili za kujisilisha kwa kiumbe.”<ref> Lewish Binford 1962 "Archeology kama Anthropology" katika ''zamani wa Marekani 28 (2): 218; se White 1959'' The Evolution ya Utamaduni ''New York: McGraw Hill p. 8'' </ref> Ufafanuzi huu ulimwezesha Bindford kutambua akiolojia kama uwanda muhimu wa kufuatilia njia ya utafiti iliyotumiwa na Julian Steward katika ekolojia ya utamaduni:
 
: Utafiti wa kiulinganishi wa mifumo ya utamaduni na teknolojia tofauti katika masafa sawa ya mazingira au teknolojia sawa katika mazingira tofautitofauti ni njia kubwa ya utafiti ambayo Steward (1955:36-42) aliita “ekolojia ya utamaduni” na bila shaka ni njia muhimu sana ya kuongezea uelewaji wetu wa mchakato wa utamaduni. Njia kama hii ni muhimu katika kuelezea mahusiano ya kimuundo baina ya mifumo midogo ya kitamaduni kama vile ya kijamii na kinadharia.<ref> Lewish Binford 1962 "Archeology kama Anthropology" katika ''zamani wa Marekani 28 (2): 218; se Steward 1955'' Nadharia ya Utamaduni ''Change.'' ''Chuo Kikuu cha Illinois Press, Urbana.'' </ref>
Line 202 ⟶ 210:
 
==== Lugha na utamaduni ====
Mwingiliano baina ya utamaduni na lugha umetambuliwa tokea enzi za urasimu na hata kabla ya hapo. [[Wagiriki wa kale]] kwa mfano walitofautisha watu waliostaarabika na barbaros “wanaobwabwaja” yaani wale ambao hawasemi lugha inayoeleweka.<ref> Baepler, Paulo. 2003. "White watumwa, African mabwana." Ya Annals wa American Academy ya Sayansi ya Siasa na 588 (1): 90-111. s. 91</ref> Kwa kuwa watu wanasema lugha ambazo hazieleweki ni ushahidi kwamba kuna tofauti za kitamaduni kuliko tabia za kitamaduni.
 
Walimbwende wa Kijerumani wa karne ya 19 kama vile Herder, Wundt na Humbolt aghalabu waliiona lugha si kama mojawapo ya tabia za kitamaduni miongoni mwa nyingi bali tukio la moja kwa moja la tabia za kitaifa za watu, yaani utamaduni kwa njia iliyokolezwa. Herder kwa mfano anapendekeza “Denn jades volk ist volk; es hat seine National Bildung wie seine Sprache” (kwa kuwa kila watu ni watu, wana utamaduni wao wa kitaifa unaoelezewa kupitia lugha yake).<ref> ilivyonukuliwa katika Anderson, Benedict RO'G. 1983. ''Imagined Communities: Reflections juu ya Asili na kuenea kwa Nationalism.'' London: Verso.</ref>
Line 208 ⟶ 216:
Franz Boaz, mwasisi wa anthropolojia ya Kimarekani, kama wenzake Wajerumani waliomtangulia, alishikilia kuwa lugha inayotumiwa na watu wote katika jumuia ndiyo hasa hubeba utamaduni wa watu hao. Boaz ndiye aliyekuwa mwanaanthropolojia wa kwanza aliyeona ya kwamba ilikuwa haiyumkiniki kuutafiti utamaduni wa kigeni bila ya kuijua lugha yake. Kulingana na Boaz, kwa kuwa utamaduni wa kiusomi wa watu ulijengeka, kutumiwa pamoja na kudumishwa kupitia lugha, ilimaanisha kuwa kuelewa lugha ya kikundi fulani cha watu lilikuwa jambo muhimu katika kuelewa utamaduni wa kikundi hicho. Wakati huo, Boaz na wanafunzi wake walifahamu kuwa utamaduni na lugha hazitegemeani moja kwa moja. Hivi ni kusema ya kwamba, vikundi vilivyo na utamaduni tofauti vinaweza kuwa na lugha moja, na wasemaji wa lugha ambazo hazifanani wanaweza kuwa na utamaduni amabao unafanana.<ref> Sapir 1921:228</ref><ref> Sapir 1995: 59</ref> Wasomi wengi wanapendekeza kuwa kila aina ya lugha huamua aina fulani za utamaduni.<ref> eg Von Humbolt, Wilhelm. 1820. ''Über das vergleichende Sprachstudium katika Beziehung auf die verschiedenen Epochen der Sprachentwicklung.'' </ref> Hii ni sawa na dhana ya Isimu amuzi ambayo husema ya kwamba aina ya lugha huamua mawazo ya kibinafsi. Maadamu Boaz alikataa kuwepo kwa kiunganishi sababishi baina ya lugha na utamaduni, wasomi wenzake waliomtangulia walishikilia kuwa wazo la mitindo ya kuzungumza na kufikiria katika lugha fulani inaweza kuathiri utamaduni wa kikundi fulani cha lugha.<ref> eg Whorf, Benjamin Lee. 1941. "Uhusiano wa habitual mawazo na tabia na lugha." Katika ''Lugha, Utamaduni, na Nafsi: Essays katika Heshima ya Edward Sapir.'' Menasha, WI: Publication Sapir Memorial Fund.</ref> Imani kama hiyo ina uhusiano na nadharia ya taathira lugha. Boaz kama wafanyavyo wanaanthropolojia wa sasa, hata hivyo, alitaka kuonyesha uhusiano baina ya utamaduni na lugha kwa kuwa chambacho B.L.Whorf, “zote hizi zimekuwa pamoja”.<ref> Whorf, Benjamin Lee. 1941. "Uhusiano wa habitual mawazo na tabia na lugha." Katika ''Lugha, Utamaduni, na Nafsi: Essays katika Heshima ya Edward Sapir.'' Menasha, WI: Publication Sapir Memorial Fund. s. 293. Angalia pia, mfano Boas, Franz. 1911. "Utangulizi." ''Handbook wa American Indian Languages.'' Washington: Smithsonian Institution, Ofisi ya Ethnology Marekani.</ref>
 
Waama kwa kweli usuli wa lugha, inavyoeleweka kama uwezo wa kibinadamu wa mawasiliano changamano ya ishara, na usuli wa utamaduni changamano unafikirika kutoka kwa mchakato wa mabadiliko katika binadamu wa kwanza. Wanaisimu na Wanaanthropolojia mabadiliko wanadhani kuwa lugha ilizaliwa wakati binadamu wa kwanza walipoanza kuishi katika jumuia kubwa ambazo zilihitaji matumizi ya mawasiliano changamano kudumisha mshikamano wa kijamii. Lugha na utamaduni kwa hivyo zote ziliibuka kama njia ya kutumia ishara kujenga utambulisho wa kijamii na kudumisha mshikamano katika kikundi kikubwa cha kijamii ambacho hakiwezi kutegemea njia za kujenga jumuia zilizotumika kabla ya binadamu, kwa mfano zile za kukuza. Kwa kuwa lugha na utamaduni zote kimsingi ni mifumo ya kutumia ishara, wananadharia wa karne ya ishirini wametumia njia za kuchanganua lugha zilizobuniwa katika sayansi ya lugha kuchanganua utamaduni. Hasa nadharia ya umuundo ya Ferdinand de Saussure ambayo huiona lugha kama mfumo wa ishara ambao unahusisha ishara (yaani kule kulinganisha umbo fulani na maani fulani).Nadharia hii imetumiwa sana katika kutafiti juu ya utamaduni. Vilevile nadharia za baadaye za umuundo bado zingali zinategemea uhusiano baina ya lugha na utamaduni kama mifumo ya mawasiliano ya kiishara, ambayo yametumiwa katika mawanda ya semiotiki.

Uhusiano baina ya lugha na utamaduni yanaweza kueleweka kama kimuundo ni sawa na uhusiano baina ya ishara lugha, inayohusisha kwa mfano sauti [kau] na maana ya “cow”(ng’ombe), na ishara ya kitamaduni inayohusisha kwa mfano namna moja ya utamaduni ya “kuvaa taji” na maana ya kitamaduni ya “kuwa mfalme”. Katika njia hii inaweza ikasemwa kuwa utamaduni ni aina ya lugha. Kufanana kwingine baina ya utamaduni na mifumo ya lugha ni kwamba yote ni mifumo ya mazoezi, yaani zote ni njia spesheli za kufanya mambo ambazo zimejengeka na kuendelezwa kupitia kwa mitagusano ya kijamii<ref> (Duranti 1997: 49) (Mannheim &amp; Tedlock 1995: 2)</ref>. Watoto kwa mfano hujifunza lugha namna sawa wanavyojifunza mambo ya kimsingi kuhusu kaida za kitamaduni za jamii ambamo wamekulia - kupitia kwa mitagusano na wenzao wa umri mpevu katika kikundi cha kitamaduni.
 
Hata hivyo, lugha, zinavyoeleweka siku hizi kama seti za kaida za lugha za jumuia fulani, vilevile ni sehemu ya utamaduni mpana wa jumuia inayosema lugha hizo. Binadamu hutumia lugha kama njia ya kuonyesha utambulisho na kikundi kimoja cha utamaduni na tofauti na vingine. Hata miongono mwa wazungumzaji wa lugha moja kuna njia nyingi za kuitumia lugha hiyo na njia hizo hutumiwa kuashiria uhusiano na kikundi fulani kidogo katika utamaduni mpana. Katika isimu, namna mbalimbali za kuitumia lugha moja huitwa “vilugha”. Kwa mfano Kingereza kinazungumzwa tofauti Marekani, Uingereza, na Australia na katika hizo nchi zinazozungumza Kingereza kuna mamia ya lahaja za Kingereza na kila lahaja hutumiwa katika eneo fulani au huwakilisha utamaduni fulani wa utamaduni mpana. Kwa mfano katika Uingereza, lahaja ya cockney huashiria kuwa wasemaji wake hutoka katika tabaka la chini la wafanyakazi wa mashariki mwa London. Tofauti katika vilugha vya lugha moja hudhihirika katika matamshi na msamiati na wakati mwingine katika mifumo ya sarufi na aghalabu katika matumizi ya mitindo mbalimbali (kwa mfano msimu wa cockney wa Rhyming au sajili ya wanasheria). Wanaisimu na Wanaanthropolojia, hasa wanaisimujamii, wanaisimuethnolojia, na wanaisimuanthropolojia wameijkita katika utafiti wa namna usemaji hutofautiana katika jamii tumizi lugha fulani.