Protini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Utaalamu: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} (2) using AWB (10903)
img
Mstari 1:
[[File: Protein_mosaic.jpg|thumb|protein model mosaic.]]
'''Protini''' ni [[molekuli]] ndefu na sehemu za lazima katika muundo wa [[seli]] za mwili wa [[viumbehai]]. Zinajengwa na [[amino asidi]]. Protini huwajibika kwa maumbile ya seli na kushughulika usafirishaji wa dutu ndani ya seli na kati ya seli za mwili. [[Musuli]] zinaundwa pamoja na protini za pekee zenye uwezo wa kupanua na kujikaza hivyo kuweka msingi wa mwendo.