Protini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
img
Mstari 5:
 
== Protini katika chakula ==
Wanyama wote pamoja na [[binadamu]] huhitaji protini katika [[chakula]] chao kwa sababu hawana uwezo wa kujijengeakujitengenezea amino asidi zote zinazohitajika kwa kujenga miili yao. Kwa sababu hiyo tunahitaji chakula chenye protini; mahitaji ya mwanadamu ni takriban [[gramu]] 1 ya protini kwa [[kilogramu]] 1 ya [[uzito]] wa [[mwili]] wake; maana yake mtu mwenye uzito wa kilogramu 70 anashauriwa kula gramu 70 za protini kwa siku.
 
[[Tumbo|Tumboni]] mwa binadamu na wanyama protini za chakula huvunjwa kwa asidi asidi ndani yao; kutoka hizi mwili unajenga protini mpya ya aina yake ya pekee.
 
Uhaba wa protini unasababisha [[magonjwa]]; uhaba mkali unaleta [[unyafuzi]]. Unyafuzi unashika hasa [[watoto]] wanaopewa chakula kingi lakini [[kabohidrati]] tu kama [[ugali]] bila [[makundekunde]], [[nyama]] au [[samaki]].
 
Vyakula vyenye protini nyingi ni
Mstari 16:
* [[mayai]]
* [[maziwa]] na vyakula kutokana na maziwa kama [[jibini]], [[maziwa ya mgando]]
* [[Jozijozi]]
* [[makundekunde]] kama [[soya]], [[kunde]], [[maharage]]