Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
|}
[[Picha:Meyers b14 s0300a.jpg|thumb|300px|Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo 1888)]]
'''Afrika ya Mashariki ya Kijerumani''' (au: ya [[Kidachi]]; [[jer.]] ''Deutsch-Ostafrika -DOA-''; [[ing.]] ''German East Africa'') ilikuwa jina la koloni ya [[Ujerumani]] huko [[Afrika ya Mashariki]] kati ya 1885 hadi 1918/1919.
Eneo lake lilijumlisha nchi za kisasa za [[Tanzania]] bara (bila [[Zanzibar]]), [[Burundi]] na [[Rwanda]]. Ilikuwa koloni kubwa kabisa ya [[Dola la Ujerumani]].