Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 38:
Koloni hii ilianzishwa na mfanyabiashara Mjerumani [[Karl Peters]] mwaka 1885 kwa niaba ya "[[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]".
 
Peters aliyewahi kusoma chuo Uingereza aliona wivu juu ya ukoloni wa Uingereza akiamini ya kwamba Ujerumani ungestahili nafasi hiyo pia. Hivyo alianza kudai koloni katika mikutanno akaanzisha "[[Shirika kwa koloniUkoloni zawa Kijerumani ]]" mwaka 1884 iliyokuwa kitangulizi cha kampuni. Shirika hii ilimtuma pamoja na wenzake wawili kwenda Afrika na kutafuta nafasi ya kuanzisha koloni. Peters alifika [[Zanzibar]] alipoambiwa na [[konsuli]] ya Ujerumani ya kwamba hawezi serikali ya nyumbani haikubali mipango yake. Hivyo alivuka barani akapita kanda la neo la Kizanzibari kwnye pwani na kutembelea machifu na masultani barani.
 
Hapa alifaulu kushawishi watawala wa Usagara, Nguru, Useguha und Ukami kumpa sahihi kwenye mikataba ya Kijerumani ambayo hawakuelewa. Mikataba hii ilisema ya kwamba mtawala alikabidhi nchi yake pamoja na haki juu ya ardhi na mali yote kwa kampuni.