Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
|}
[[Picha:Meyers b14 s0300a.jpg|thumb|300px|Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo 1888)]]
'''Afrika ya Mashariki ya Kijerumani''' (au: ya [[Kidachi]]; kwa [[jer.Kijerumani]] ''Deutsch-Ostafrika -DOA-''; kwa [[ing.Kiingereza]] ''German East Africa'') ilikuwa [[jina]] la [[koloni]] yala [[Ujerumani]] huko [[Afrika ya Mashariki]] kati ya miaka [[1885]] hadina [[1918]]/[[1919]].
Eneo lake lilijumlisha nchi za kisasa za [[Tanzania]] bara (bila [[Zanzibar]]), [[Burundi]] na [[Rwanda]]. Ilikuwa koloni kubwa kabisa yala [[Dola la Ujerumani]].
 
== Chanzo cha koloni ==
=== Utangulizi ===
Hadi mnamo mwaka [[1880]] [[serikali]] ya [[Ujerumani]] chini ya [[chansella]] [[Otto von Bismarck]] ilikataa kuanzishwakuanzisha kwa kolonimakoloni. Sehemu ya [[wafanyabiashara]] Wajerumani walidai koloni. Walisikitika kuona [[faida]] za wenzao [[Waingereza]] waliopata mara nyingi msaada kutoka kwa [[wanajeshi]] na serikali za koloni za Uingereza hasa [[Asia]]. Waliona pia faida ya [[viwanda]] vya Uingereza vilivyokuwa na [[soko]] la kulindwa katika nchi kama [[Uhindi]] kwa sababu serrikaliyserikali aya kikoloni ilidai [[kodi]] kali kwa [[bidhaa]] zisizotoka [[Uingereza]].
 
Bismarck hakuamini ya kwamba koloni ingeletalingeleta faida kwa [[taifa]] kulingana na [[gharama]] kubwa kwa serikali. Lakini wapigania koloni walikuwa na [[wabunge waliokuwa]] muhimu kwa serikali na polepole Bismarck alianza kukubali hatua za kwanza.

Mwenyewe aliamini mwanzoni ya kwamba itatosha kuwapa wafanyabiashara [[ulinzi]] kwa shughuli zao kwa kuwaruhusu matumizi ya [[bendera]] ya Ujerumani na kuwa na [[askari]] wao wa ulinzi kama wamepatana na viongozi wazalendo katika eneo fulani kuanzisha shughuli huko. Kwa njia hii alifungua [[mlango]] kwa [[harakati]] iliyoendelea kuwa mchango wa Ujerumani katika [[mbio]] wa kugawa [[dunia]], hasa [[Afrika]].
== Juhudi za Karl Peters ==
[[Picha:Petersland east africa 1885.png|thumb|250px|Maeneo ya kwanza yaliyotwaliwa na Karl Peters]]
Koloni hiihili ilianzishwalilianzishwa na mfanyabiashara Mjerumani [[Karl Peters]] mwaka 1885 kwa niaba ya "[[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]".
 
Peters, aliyewahi kusoma [[chuo]] Uingereza, aliona [[wivu]] juu ya ukoloni wa Uingereza, akiamini ya kwamba Ujerumani ungestahili nafasi hiyo pia. Hivyo alianza kudai koloni katika mikutannomikutano, akaanzisha "[[Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ]]" mwaka [[1884]] iliyokuwa kitangulizi cha kampuni. Shirika hii ilimtuma pamoja na wenzake wawili kwenda Afrika na kutafuta nafasi ya kuanzisha koloni. Peters alifika [[Zanzibar]] alipoambiwa na [[konsuli]] ya Ujerumani ya kwamba hawezi serikali ya nyumbani haikubali mipango yake. Hivyo alivuka barani akapita kanda la eneo la Kizanzibari kwenye pwani na kutembelea machifu na masultani barani.
 
Shirika hii ilimtuma pamoja na wenzake wawili kwenda Afrika na kutafuta nafasi ya kuanzisha koloni. Peters alifika [[Zanzibar]] alipoambiwa na [[konsuli]] ya Ujerumani ya kwamba hawezi: serikali ya nyumbani haikubali mipango yake. Hivyo alivuka [[Bara|barani]] akapita kanda la eneo la Kizanzibari kwenye [[pwani]] na kutembelea [[chifu|machifu]] na [[Sultani|masultani]] barani.
Hapa alifaulu kushawishi watawala wa Usagara, Nguru, Useguha und Ukami kumpa sahihi kwenye mikataba ya Kijerumani ambayo hawakuelewa. Mikataba hii ilisema ya kwamba mtawala alikabidhi nchi yake pamoja na haki juu ya ardhi na mali yote kwa kampuni.
 
Hapa alifaulu kushawishi watawala wa [[Usagara]], [[Nguru]], [[Useguha]] undna [[Ukami]] kumpakutia [[sahihi]] kwenye mikataba ya Kijerumani ambayo hawakuelewahawakuielewa. Mikataba hii ilisema ya kwamba [[mtawala]] alikabidhi kwa kampuni nchi yake pamoja na [[haki]] juu ya [[ardhi]] na [[mali]] yote kwa kampuni.
1885 Peters alirudi Berlin na kuonyesha mikataba yake kwa magazeti na serikali. [[Chansela Bismarck]] alikataa akacheka mikataba kama karatasi bila maana. Peters alitumia mbinu akatisha kupeleka mikataba yake kwa mfalme [[Leopold II wa Ubelgiji]] aliyekuwa kununua haki zake. Hapa Bismarck aliogopa kilio cha wapenda koloni akakubali kumpa Peters barua ya ulinzi kwa maeneo yalikuwa ya kampuni kufuatana na mikataba.
 
Mwaka 1885 Peters alirudi [[Berlin]] na kuonyesha mikataba yake kwa [[Gazeti|magazeti]] na serikali. [[Chansela Bismarck]] alikataa, akacheka mikataba kama [[karatasi]] bila maana.
 
1885 Peters alirudi Berlin na kuonyesha mikataba yake kwa magazeti na serikali.alitumia [[Chansela Bismarckmbinu]] alikataa akacheka mikataba kama karatasi bila maana. Peters alitumia mbinu: akatisha kupeleka mikataba yake kwa mfalme [[Leopold II wa Ubelgiji]] aliyekuwa kununua haki zake. Hapa Bismarck aliogopa kilio cha wapenda koloni akakubali kumpa Peters [[barua]] ya ulinzi kwa maeneo yalikuwayaliyokuwa ya kampuni kufuatana na mikataba.
 
== Upanuzi wa eneo la kampuni ==
===Upanuzi na ugomvi na Zanzibar===
Peters na wawakilishi wake walirudi wakaendelea kutafuta machifu waliokuwa tayari kutia [[saini]] mikataba yake. [[Sultani yawa ZanzibariZanzibar]] alipinga juhudi hizi. Zanzibar ilisimamia pwani laya [[Afrika ya Mashariki]] na tangu [[karne]] watu wa [[Mji|miji]] ya pwani walikuwa na [[wali|mawali]] wa Sultani. Zanzibar ilidai pia utawala ya bara hadi [[Ziwa Tanganyika]] na Kongo ingawa hali halisi athira yake haikuenda mbali na njia za misafara ambako ndovu na watumwa walipelekwa pwani. Tarehe 27 Aprili 1885 serikali ya Zanzibar ilituma barua [[Berlin]] kupinga kazi na madai ya kampuni na kutangaza maeneo ya ya tanzania ya leo kama milki yake. Iliongeza pia wanajeshi wake barani zilizokuwa chini ya amri ya mwanajeshi mstaafu Mwingereza Matthews. Hapa serikali ya Berlin ilituma kikosi cha manowari kwenda Bahari Hindi.
 
Zanzibar ilidai pia utawala ya bara hadi [[Ziwa Tanganyika]] na [[Kongo]], ingawa hali halisi [[athira]] yake haikwenda mbali na [[njia]] za misafara ambako [[ndovu]] na [[watumwa]] walipelekwa pwani.
Mwezi wa Agosti manowari za Kijerumani chini ya amri ya [[admirali]] [[Eduard von Knorr]] zilifika mbele ya Unguja zikalenga mizinga yao kwa ikulu ya sultani. Akishauriwa na balozi wa Uingereza Sultan Bargadh alipaswa kutoa tamko kuwa "Kutokana na madai tunayopelekewa kwa matishio na Kaisari wa Ujerumani tunatambua ulinzi wa Ujerumani juu ya nchi za Usagara, Ngurow, Useguha, Ukami na juu ya wilaya ya Witu. Mipaka yake itaelezwa baadaye na sisi tunatambua ulinzi wa Kaisari juu ya mahali palipotajwa." <ref> nukuu ya Kiingereza katika [http://othes.univie.ac.at/1397/1/2008-09-19_5900039.pdf Franz Kotrba: William Astor Chanler (1867-1934) und Ludwig von Höhnel (1857-1942) und Afrika, Vienna 2008]</ref>. Sultani alipaswa pia kutia sahihi mkataba wa biashara na Ujerumani alipokubali haki nyingi kwa Wajerumani katika milki yake. <ref>Mkataba inapatikana kwa Kiingereza na Kijerumani kwa [http://de.wikisource.org/wiki/Freundschafts-,_Handels-und_Schiffahrtsvertrag_zwischen_dem_Deutschen_Reich_und_dem_Sultan_von_Zanzibar wikisource]</ref>.
 
Tarehe [[27 Aprili]] 1885 serikali ya Zanzibar ilituma barua [[Berlin]] kupinga [[kazi]] na madai ya kampuni na kutangaza maeneo ya Tanzania ya leo kama [[milki]] yake. Iliongeza pia wanajeshi wake barani zilizokuwa chini ya [[amri]] ya [[mwanajeshi]] mstaafu Mwingereza [[Matthews]]. Hapo serikali ya Berlin ilituma kikosi cha [[manowari]] kwenda [[Bahari Hindi]].
Mwaka 1886 Uingereza na Ujerumani walipatana juu ya ugawaji wa Afrika ya Mashariki na tena Sultani alipaswa kukubali. Katika mapatano haya Sultani alibaki na visiwa vya [[Unguja]], [[Pemba]], [[Mafia]] na [[funguvisiwa ya Lamu]] pamoja na kanda la pwani barani lenye upana wa maili 10 kati ya mito Rovuma upande wa Kusini na mto Tana upande wa Kaskazini,halafumiji ya [[Kismayu]], [[Barawa]], [[Merka]] na [[Mogadishu]] upande wa kaskazini zaidi. <ref>Februari 1887 Sultani aliendelea kupungukiwa maeneo alipopatana na Mwingereza [[William Mackinnon]] kumkodisha pwani la Kenya pamoja na haki za utawala kwa malipo ya kila mwaka. Kisheria kanda hili lilibaki mali ya Zanzibar hadi uhuru wa Kenya 1964 </ref>.
 
Mwezi wa Agosti manowari za Kijerumani chini ya amri ya [[admirali]] [[Eduard von Knorr]] zilifika mbele ya [[Unguja]] zikalenga [[Mzinga|mizinga]] yao kwa [[ikulu]] ya sultani. Akishauriwa na [[balozi]] wa Uingereza, [[Sultan Bargadh]] alipaswa kutoa tamko kuwa, "Kutokana na madai tunayopelekewa kwa matishio na [[Kaisari]] wa Ujerumani, tunatambua ulinzi wa Ujerumani juu ya nchi za Usagara, NgurowNguru, Useguha, Ukami na juu ya [[wilaya]] ya [[Witu]]. Mipaka yake itaelezwa baadaye na sisi tunatambua ulinzi wa Kaisari juu ya mahali palipotajwa." <ref> nukuu ya Kiingereza katika [http://othes.univie.ac.at/1397/1/2008-09-19_5900039.pdf Franz Kotrba: William Astor Chanler (1867-1934) und Ludwig von Höhnel (1857-1942) und Afrika, Vienna 2008]</ref>. Sultani alipaswa pia kutia sahihi mkataba wa biashara na Ujerumani alipokubali haki nyingi kwa Wajerumani katika milki yake. <ref>Mkataba inapatikana kwa Kiingereza na Kijerumani kwa [http://de.wikisource.org/wiki/Freundschafts-,_Handels-und_Schiffahrtsvertrag_zwischen_dem_Deutschen_Reich_und_dem_Sultan_von_Zanzibar wikisource]</ref>.
 
Sultani alipaswa pia kutia sahihi [[mkataba]] wa [[biashara]] na Ujerumani alipokubali haki nyingi kwa Wajerumani katika milki yake.<ref>Mkataba inapatikana kwa Kiingereza na Kijerumani kwa [http://de.wikisource.org/wiki/Freundschafts-,_Handels-und_Schiffahrtsvertrag_zwischen_dem_Deutschen_Reich_und_dem_Sultan_von_Zanzibar wikisource]</ref>.
 
Mwaka [[1886]] Uingereza na Ujerumani walipatana juu ya ugawaji wa Afrika ya Mashariki na tena Sultani alipaswa kukubali tena. Katika mapatano hayahayo Sultani alibaki na [[visiwa]] vya [[Unguja]], [[Pemba]], [[Mafia]] na [[funguvisiwa ya Lamu]] pamoja na kanda la pwani barani lenye [[upana]] wa [[maili]] 10 kati ya mito[[mto RovumaRuvuma]] upande wa [[Kusini]] na [[mto Tana]] upande wa [[Kaskazini]],halafumiji halafu miji ya [[Kismayu]], [[Barawa]], [[Merka]] na [[Mogadishu]] upande wa kaskazini zaidi. <ref>Februari 1887 Sultani aliendelea kupungukiwa maeneo alipopatana na Mwingereza [[William Mackinnon]] kumkodisha pwani laya [[Kenya]] pamoja na haki za utawala kwa malipo ya kila mwaka. Kisheria kanda hili lilibaki mali ya Zanzibar hadi [[uhuru]] wa Kenya 1964mwaka [[1964]]</ref>.
 
==Mkataba kati ya Zanzibar na Kampuni juu ya kofo na pwani==
Mapatano ya 1886 yaliwapa Wajerumani nafasi ya kuendeleza upanuzi barani nyuma ya kanda la pwani la Kizanzibari na [[mstari]] wa [[mpaka]] ulichorwa kuanzia [[mdomo]] wa [[mto Umba]] kupitia [[mlima Kilimanjaro]] hadi [[Ziwa Viktoria]]. Lakini kwa ajili ya matumizi ya kibiashara swalisuala la [[bandari|mabandari]] bado lilibaki wazi. Hapo Peters na kampuni yake walianza kujadiliana na Sultani [[Seyyed Bargash]] kuhusu utawala wa pwani katika sehemu ya [[Tanganyika]].
 
Mnamo mwaka [[1887]] Bargash alikuwa amechoka: alitafuta [[pesa]] tu kwa ajili yake binafsi; alikuwa tayari kukodisha utawala wa kanda la pwani laya Tanganyika kwa Wajerumani. Wajerumani walidai kuongezeka haki na Bargash alikufa bila kumaliza mapatano.

Lakini mfuasimwandamizi wake [[Sultani Seyyed Khalifa]] aliwapa Wajerumani walichotaka. Tarehe [[15 Agosti]] [[1888]] wawakilishi wa kampuni ya Kijerumani walifika kwenye mabadarimabandari yote ya pwani wakatangaza utawala wao kwa niaba ya sultani.
 
== Vita ya Abushiri na mwisho wa utawala wa Kampuni ==
<sup>tazama [[Vita ya Abushiri]]</sup>
 
Badiliko hili lilisababisha [[upinzani]] na hatimaye [[ghasia]] ya wenyeji. Vipengele yavya mkataba vilisema ya kwamba mali isiyokuwa na [[hati]] za kimaandishi haiwezi kutambuliwa. Wenye mali kama [[shamba|mashamba]] walitakiwa kununua hati kutoka kwa watawala wapya. Hapo [[Waswahili]] wa pwani walijisikia walisalitiwawamesalitiwa na sultani asiyekuwa na haki ya kuchukua mali zao na kuzipa kwa [[wageni wa nje]].
 
Mara baada ya kufika kwa Wajerumani kwenye miji ya pwani ghasia ilianza mjini [[Pangani]] na kuenea haraka kote pwani kati ya [[Tanga (mji)|Tanga]] na [[Lindi (mji)|Lindi]].
 
Kampuni ilikuwa na Wajerumani wachache tu walioshindwa kujitetea. Walipaswa kukimbia au wakauawa. [[Bagamoyo (mji)|Bagamoyo]] pekee palikuwa na kikosi cha askari kzutokakutoka manowari ikatetewa.
 
Serikali ya Ujerumani iliona lazima kuingia kati yana kutuma manowari pamoja na askari waliokandamiza ghasia.
 
Baada ya upinzani wa wenyeji wa pwani mwaka [[1889]]/[[1890]] wakiongozwa na [[Abushiri]] na [[Bwana Heri]] serikali ya Ujerumani iliamua kutwaa [[mamlaka]] kutoka kwa kampuni na kufanya eneo lote kuwa koloni yala Dola la Ujerumani badala ya shirika.
 
== Koloni yala Dola la Ujerumani ==
Utawala wa Kijerumani ulikwisha katika [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza]] ([[1914]] - 1918) kutokana na uvamizi wa [[Uingereza]] na [[Ubelgiji]].
 
Katika [[Mkataba wa Versailles]] mwaka 1919 eneo la koloni yala Kijerumani iligawiwaliligawiwa. Sehemu ya [[Tanganyika]] ilikabidhiwa kwa Uingereza na maeneo ya Rwanda na Burundi yaliwekwa chini ya [[Ubelgiji]].
== Koloni ya Dola la Ujerumani ==
Utawala wa Kijerumani ulikwisha katika [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza]] (1914 - 1918) kutokana na uvamizi wa [[Uingereza]] na Ubelgiji.
 
Katika [[Mkataba wa Versailles]] mwaka 1919 eneo la koloni ya Kijerumani iligawiwa. Sehemu ya [[Tanganyika]] ilikabidhiwa kwa Uingereza na maeneo ya Rwanda na Burundi yaliwekwa chini ya [[Ubelgiji]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Marejeo==
* Pugu Hadi Peramiho - kimehaririwa na P. Gerold Rupper, OSB, BPNP, Peramiho 1988, ISBN 9967 67 031 1