96,347
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
}}
'''Kidete''' ni [[jina]] la [[kata]] mojawapo ya [[Wilaya ya Kilosa]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 11,329 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Kilosa - Morogoro
</ref>
Kidete iko kwenye njia ya [[Reli ya Kati]] ikiwa na kituo.
Jinsi ilivyo kawaida katika kata za wilaya hii, wananchi wanajishughulisha na [[kilimo]] na [[ufugaji]].
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya Kilosa}}
|