Namba asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'https://en.wikipedia.org/wiki/File:Three_apples(1).svg'''Namba asilia''' katika hisabati namba hizi ni namba zinazotumika kuhesabu (kama hivi "kuna sarafu t...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:36, 14 Mei 2016

https://en.wikipedia.org/wiki/File:Three_apples(1).svgNamba asilia katika hisabati namba hizi ni namba zinazotumika kuhesabu (kama hivi "kuna sarafu tatu mezani") na kwenye kupanga (kama hivi "huu ni mji wa tatu kwa ukubwa hapa nchini"). Katika lugha ya kawaida, maneno yanayotumika kuhesabu huitwa "namba kadinali".

Baadhi ya waandishi huanza kuhesabu namba asilia na 0, wakifuatia na namba kamili zisizo hasi 0, 1, 2, 3,....,ambapo wengine huanza na 1,kisha wakifuatia na namba kamili chanya 1, 2, 3,..... Maandishi yayokanayo na namba asilia yasiyohusisha sifuri mara nyigine humaanisha namba asilia pamoja na namba nzima, lakini katika maandishi mengine, neno hili linatumika badala ya namba nzima (ikiwa ni pamoja na namba nzima hasi).

Namba asilia ni mi ni msingi ambao katika huo makundi mengine ya namba yameundwa kwa kupitia upanuzi: namba nzima,namba kamili, sehemu na nyingine nyigi. Minyororo hii ya upanuzi hufanya namba asilia (kutambuliwa) katika mifumo mingine ya namba.

Tabia za namba asilia, nia kama kugawanyika