Tofauti kati ya marekesbisho "Utamaduni"

644 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
Anthropolojia ya Kimarekani imepangiliwa katika mawanda manne. Kila mojawapo huchangia sana [[utafiti]] wa utamaduni. Mawanda yenyewe ni: [[anthropolojia ya kibiolojia]], [[isimu]], [[anthropolojia ya kiutamaduni]], na [[akiolojia]]. Utafiti katika mawanda haya umewaathiri kwa kiwango fulani wanaathropolojia wanaofanya kazi katika nchi zingine.
 
==Elimu jamii==
=== Mafunzo ya Kitamaduni ===
[[Sosholojia ya utamaduni]] inajihusisha na utamaduni unavyojitokeza katika jamii, nao unaweza ama kutegemea ama kutotegemea [[mata]] (yaani [[Jengo|majengo]], vifaa n.k. ama [[tunu]], imani, taratibu n.k.).<ref>
Macionis, J., and Gerber, L. (2010). Sociology, 7th edition
</ref> t.
 
Kutokana na athari ya watu kama [[Karl Marx]], [[Emile Durkheim]] na [[Max Weber]], aina hii ya sosholojia ilitokea kwanza [[Ujerumani]] ([[1918]]–[[1933]]), ambapo wataalamu kama [[Alfred Weber]] walitunga neno ''Kultursoziologie'' (kwa [[Kiingereza]] cultural sociology), halafu katika nchi za lugha ya Kiingereza, hasa [[miaka ya 1960]].
 
=== Mafunzo ya Kitamadunikiutamaduni ===
Nchini Uingereza, wanasosholojia na wasomi wengine walioathiriwa na Umarx, kama vile Stuart Hall na Raymond Williams, walianzisha mafunzo ya kitamaduni. Wakifuata nyayo za Walimbwende wa karne ya 19 walihusisha utamaduni na matumizi ya bidhaa na mambo ya ziada (kama vile sanaa, muziki, filamu, chakula, michezo na mavazi). Hata hivyo walielewa mitindo ya kula na ya anasa inaamuliwa na mahusiano ya uzalishaji ambayo iliwafanya kuangazia zaidi mahusiano ya kitabaka na mpangilio wa uzalishaji.<ref> jina = "Williams"> [[Raymond Williams]] (1976) [[Keywords: A Vocabulary of Culture and Society]] Rev Ed. (Newyork: Oxford UP, 1983), uk. 87-93 na 236-8.</ref><ref> Yohana Berger, Peter Smith Pub. Inc, (1971) ''Njia za Ukiangalia'' </ref> Nchini Marekani mafunzo ya kitamaduni yaliangazia pakubwa juu ya uchunguzi wa utamaduni pendwa yaani maana ya kijamii ya uzalishaji kwa wingi wa bidhaa za matumizi na anasa. Dhana hii ilibuniwa na Richard Hggart mnamo mwaka wa 1964 alipoanzisha mjini Birmingham Kituo cha mafunzo ya kisasa ya kitamaduni.(Centre for Contemporary Cultural Studies/CCCS).Tokea hapo kituo hicho kimehusishwa sana na Stuart Hall ambaye alichukua mahali pa Hoggart kama mkurugenzi.