Namba asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Three apples(1).svg|right|thumb|Namba asilia zinaweza kutumika kwa kuhesabu ([[tofaa]] [[moja]], [[mbili]], [[tatu]] n.k.]]
'''Namba asilia''' katika hisabati namba hizi ni [[namba]] zinazotumika kuhesabia (kama hivi "kuna sarafu tatu mezani") na kwenye kupanga (kama hivi "huu ni [[mji]] wa tatu kwa ukubwa hapa nchini"). Katika lugha ya kawaida, maneno yanayotumika kuhesabia huitwa "[[namba kadinali]]".
[[File:U+2115.svg|right|thumb|upright|[[Herufi]] kubwa N yenye mistari miwili inayoikata ni kidokezo cha namba asilia zote.]]
'''Namba asilia''' katika [[hisabati namba hizi]] ni [[namba]] zinazotumika kuhesabiakwa kuhesabu (kama hivi "kuna [[sarafu]] tatu [[Meza|mezani]]") na kwenyekwa kupanga (kama hivi "huu ni [[mji]] wa tatu kwa [[ukubwa]] hapa nchini"). Katika [[lugha]] yaza kawaidaKizungu, maneno yanayotumika kuhesabia huitwa "[[namba kadinali]]".
 
Baadhi ya [[waandishi]] huanza kuhesabu namba asilia na 0, wakifuatia na [[Namba|namba kamili]]i zisizo [[namba hasi|hasi]] 0, 1, 2, 3,...., ambapo wengine huanza na 1, kisha wakifuatia na [[Namba|namba kamili]] [[namba chanya|chanya]] 1, 2, 3,..... Maandishi yayokanayoyatokanayo na namba asilia yasiyohusisha [[sifuri]] mara nyiginenyingine humaanisha namba asilia pamoja na namba nzima, lakini katika maandishi mengine, neno hili linatumika badala ya [[Namba|namba nzima]] (ikiwa ni pamoja na namba nzima hasi).
 
Namba asilia ni mi ni [[msingi]] ambao katika huo makundi mengine ya [[namba]] yameundwa kwa kupitia upanuzi: [[Namba|namba nzima]], [[Namba|namba kamili]], [[sehemu]], [[Namba|namba halisi]] na nyingine nyiginyingi. Minyororo hii ya upanuzi hufanya namba asilia (kutambuliwa) katika mifumo mingine ya namba.
 
Tabia za namba asilia, niani kama kugawanyika na mgawanyiko wa [[namba tasa]], husomwa katika [[nadharia ya namba]].
 
Katika [[lugha]] ya kawaida, kwa mfano kwenye [[shule ya msingi]], namba asilia zinaweza kuitwa namba za kuhesbiakuhesabia, kuelezea utofauti ya [[namba]] za kuhesabia na mwendelezo wa [[vipimo]], ulioanzishwa na [[Namba|namba halisi]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Hisabati]]