Namba asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 5:
Baadhi ya [[waandishi]] huanza kuhesabu namba asilia na 0, wakifuatia na [[Namba|namba kamili]] zisizo [[namba hasi|hasi]] 0, 1, 2, 3...., ambapo wengine huanza na 1, kisha wakifuatia na [[Namba|namba kamili]] [[namba chanya|chanya]] 1, 2, 3..... Maandishi yatokanayo na namba asilia yasiyohusisha [[sifuri]] mara nyingine humaanisha namba asilia pamoja na namba nzima, lakini katika maandishi mengine, neno hili linatumika badala ya [[Namba|namba nzima]] (ikiwa ni pamoja na namba nzima hasi).
 
Namba asilia ni [[msingi]] ambao katika huo makundi mengine ya [[namba]] yameundwa kwa kupitia upanuzi: [[Namba|namba nzima]], [[Namba|namba kamili]], [[sehemuNamba|namba wiano]], [[Namba|namba halisi]] na nyingine nyingi. Minyororo hii ya upanuzi hufanya namba asilia (kutambuliwa) katika mifumo mingine ya namba.
 
Tabia za namba asilia, ni kama kugawanyika na mgawanyiko wa [[namba tasa]], husomwa katika [[nadharia ya namba]].