Namba halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|120px|Alama ya kundi la '''namba halisi''' (ℝ) Katika hisabati, '''namba halisi''' ni thamani inayowakilisha...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:45, 14 Mei 2016

Katika hisabati, namba halisi ni thamani inayowakilisha kiasi katika mstari wa kuendelea. Kivumishi halisi kwa mantiki hii kilianzishwa kwenye karne ya 17 na mfaransa Descartes, ambaye alitofautisha namba halisi na namba changamano .

Alama ya kundi la namba halisi (ℝ)

Namba halisi zinajumuisha namba wiano, kama vile namba kamili −5 na sehemu 4/3, na namba zisizowiani, kipeo cha pili cha 2, na algebra). Ikijumuisha na zisizowiani ni namba zisizo na mwisho, kama pai (3.14159265…). Namba halisi zinaweza kuwa kama pointi katika mstari mnyoofu unaoitwa mstari wa tarakimu au mstari halisi, ambapo pointi za namba halisi ambzo zimeachiana nafasi sawa.

Namba halisi zinaweza Real numbers kuwa kama pointi katika mstari wa tarakimu