Algebra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Algebra''' (kutoka katika Kiarabu "al-jabr" inamaanisha "muungano wa sehemu zilizovunjika" ni moja ya maeneo mapana ya hisabati, pamoja na Namba|na...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:10, 14 Mei 2016

Algebra (kutoka katika Kiarabu "al-jabr" inamaanisha "muungano wa sehemu zilizovunjika" ni moja ya maeneo mapana ya hisabati, pamoja na nadharia ya namba, jiometri and uchambuzi. Katika muundo wake wa kiujumla, algebra ni somo la ishara za kihisabati na sheria za kuebdesha ishara hizi; ni uzi unaounganisha karibu matawi yote ya hisabati . Inajumuisha kila kitu kutoka kwenye misingi ya kutatua milinganyo.