Namba hasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'File:US Navy 070317-N-3642E-379 During the warmest part of the day, a thermometer outside of the Applied Physics Laboratory Ice Station's (APLIS) mess tent st...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:46, 14 Mei 2016

Katika hisabati, namba hasi ni namba halisi ambayo ni pungufu ya namba 0. Namba hasi huwakilisha kinyume. Kama namba chanya inawakilisha elekea kulia, namba hasi inamaanisha elekea kushoto. Kama namba chanya inawakilisha juu ya usawa wa bahari, basi namba hasi itwakilisha chini ya usawa wa bahari. Kama namba chanya inawakilisha kuweka, namba hasi inawakilisha kutoa. Mara nyingi huwakilisha ukubwa wa deni au upungufu.

Hiki kipimajoto kikionyesha joto hasi la Fahrenheit (−4°F).