Novaya Zemlya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ivan bomb.png|thumb|Mahali pa Novaya Zemlya duniani, pamoja na mahali pa mlipuko wa bomu ya nyuklia]]
[[Picha:Belushya Guba on map of Novaya Zemlya.jpg|thumb|Ramani ya Novaya Zemlya ([[kiingereza]])]]
'''Novaya Zemlya''' ([[rus.]] Но́вая Земля́ ''nchi mpya'') ni [[funguvisiwa]] ya [[Urusi]] iliyopo kwenye [[Bahari Aktiki]]. Eneo lake ni [[kilomita za mraba]] 90,650. Kiutawala ni '''Wilaya ya Novaya Zemlya''' katika mkoa wa [[Arkhangelsk Oblast]]. <ref>Sheria ya Urusi #65-5-OZ</ref>. Mwaka 2010 ilikuwa na wakazi 2,429 na karibu 2,000 waliishi katika mji wa [[Belushya Guba]] penye makao makuu ya wilaya.