Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 76:
Sehemu kubwa ya Urusi ni [[tambarare]] yenye [[vilima]] vidogo tu. Milima mirefu inapatikana kusini na mashariki mwa [[Siberia]].
 
Bahari mpakani urusi - [[Bahari Nyeusi]], [[Bahari ya Azov]], [[Bahari Nyeupe]], [[Bahari ya Barents]], [[Bahari ya Kara]], [[Bahari ya Laptev]], [[Bahari ya Mashariki ya Siberia]], [[Bahari ya Chukchi]], [[Bahari ya Bering]], [[Bahari ya Ohotsk]] na [[Bahari ya Japani]].
=== Pwani na visiwa===
Jumla Urusi ina pwani ndefu sana zenye urefu wa kilomita 37,000 kwenye [[Bahari Aktiki]] na [[Pasifiki]], pia kwenye [[Bahari Baltiki]], [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari ya Kaspi]].<ref name=cia>{{cite web|last=The World Factbook|title=CIA|publisher=Central Intelligence Agency|url=https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/rs.html|accessdate=26 December 2007}}</ref>