Bahari ya Bering : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:LA2-Bering-Sea.png|thumb|Bahari ya Bering]]
'''Bahari ya Bering''' ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]] iliyopo [[kusini]] yakwa [[Urusi]] na [[Alaska]]. Eneo lake ni [[km²]] 2.315.000 км². [[Mlango wa Bering]] iko kaskazini kwake.
 
[[Mlango wa Bering]] uko [[kaskazini]] kwake.
Upande wa kusini safu ya [[visiwa vya Aleuti]] ni mpaka kati ya Bahari ya Bering na Pasifiki.
 
Upande wa [[kusini]] safu ya [[visiwa vya Aleuti]] ni mpaka kati ya Bahari ya Bering na Pasifiki.
{{fupi}}
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Pasifiki]]
[[Jamii:Aktiki]]