Tofauti kati ya marekesbisho "14 Mei"

324 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (rekebisha viungo using AWB)
{{Mei}}
Tarehe '''14 Mei''' ni [[siku]] ya 134 ya [[mwaka]] (ya 135 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 231.
 
== Matukio ==
* [[1643]] - [[Louis XIV wa Ufaransa|Louis XIV]] alikuwaanakuwa [[mfalme]] wa [[Ufaransa]] akiwa na [[umri]] wa miaka minne tu
* [[1811]] - Nchi ya [[Paraguay]] inatangaza [[uhuru]] wake kutoka [[Hispania]].
 
== Waliozaliwa ==
* [[1995]] - [[Christian Anfinsen]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1972]]
* [[2006]] - [[Robert Merrifield]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1984]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[sikukuu]] ya [[mtakatifu]] [[Mtume Matia]], na [[kumbukumbu]] ya mtakatifu [[Mikaeli Garikoitz]], [padri]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|May 14|14 Mei}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/may/14 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=May&day=14 On this day in Canada]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Mei 14}}
[[Jamii:Mei]]