Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
}}
 
'''[[Dodoma]]''' ni mji wa Tanzania ya kati. Imetangazwa kuwa [[mji mkuu]] wa [[Tanzania]] mwaka 1973. Hali halisi makao ya kikazi ya serikali ya Tanzania yako [[Dar Es Salaam]] pia ikulu halisi ya rais. Lakini [[bunge]] hukutana Dodoma na sehemu za ofisi za [[wizara]] kadhaa zimepelekwa Dodoma. Mji ni pia makao makuu ya [[Mkoa wa Dodoma]] na eneo lake inahesabiwa kama '''Wilaya ya Dodoma'''.
 
Eneo la mji liko 1135 [[m]] juu ya [[UB]]. IdadiWakati yawa wakazisensa imekadiriwa kuwa 2,083,588iliyofanyika mwaka wa [[2012.]], Kiuchumimji niwa kitovuDodoma chailikuwa biasharana yawakazi kilimowapatao cha karanga410,956 maharagwe<ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf naSensa alizetiya 2012, pamojaDodoma na- mifugoDodoma naMC]</ref> waishio kukuhumo.
 
==Uchumi==
Kiuchumi ni kitovu cha biashara ya kilimo cha [[karanga]], [[maharagwe]], [[alizeti]] na [[mizabibu]], pamoja na [[mifugo]] na [[kuku]].
 
Dodoma kuna makao makuu ya [[Kanisa la Biblia Publishers]] pamoja na [[Emmaus Shule ya Biblia]].