Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
 
== Historia ==
[[File:000 1333 Dodoma Cathedral.JPG|left|thumb|250px|Kanisa Kuu la Anglikana, Dodoma Mjini]]
Dodoma ilianzishwa wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] kama kituo kwenye reli ya kati penye karahana ya reli. Tangu 1912 imekuwa makao makuu ya mkoa. 1913 Dodoma ilikuwa na posta, simu, hoteli na maduka 26 (moja ya mzungu, mengine ya Wahindi na Waarabu). Kikosi cha polisi kilikuwa na askari 59.
 
Dodoma imeendelea kuwa mji mdogo mpaka kutangazwa kuwa mji mkuu. Azimio hili lilileta ujenzi na maofisi kadhaa ya serikali. Kwa ujumla uhamisho unaendelea kuchelewa kwa sababu mbalimbali; sababu muhimu ni ya kwamba watumishi wa serikali na wanasiasa walio wengi hawapendi kuondoka katika jiji halisi na kuhamia mji mdogo ambao ni mbali sana na mazingira waliyoyazoea. Menginevyo kuna matatizo ya kifedha ambayo yamesaidia haidi sasa kutangaza nia ya kuhami lakini kubaki palepale.
 
<gallery class="float-right" perrow=2 widths=200px heights=170px>
File:Klb_dodoma.jpg|Kanisa la Biblia
[[File:000 1333 Dodoma Cathedral.JPG|left|thumb|250px|Kanisa Kuu la Anglikana, Dodoma Mjini]]
File:Gaddafi Mosque.jpg|Msikiti wa [[Gaddafi]]
File:Nyerere Square in Dodoma.jpg|Uwanja wa [[Nyerere]]
File:University of Dodoma.jpg|[[Chuo Kikuu cha Dodoma]]
</gallery>
 
== Tazama pia ==