18 Mei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d rekebisha viungo using AWB
No edit summary
Mstari 1:
{{Mei}}
Tarehe '''18 Mei''' ni [[siku]] ya 138 ya [[mwaka]] (ya 139 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 227.
 
== Matukio ==
* [[218]] - [[Elagabalus]] alitangazwaanatangazwa kuwa [[Kaisari]] wa [[Dola la Roma]]
* [[1721]] - [[Bakaffa]] alitangazwaanatangazwa kuwa [[mfalme mkuu]] wa [[Uhabeshi]] kwa [[jina]] la ''Asma Sagad''.
 
== Waliozaliwa ==
Line 19 ⟶ 21:
* [[1981]] - [[William Saroyan]], [[mwandishi]] [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]] mwaka wa [[1940]], aliyoikataa
* [[2007]] - [[Pierre de Gennes]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1991]]
 
==Sikukuu==
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] ya [[mtakatifu]] [[Papa Yohane I]], [[mfiadini]], ya mtakatifu [[Erik IX]], [[mfalme]] na ya mtakatifu [[Feliche wa Cantalice]], [[mtawa]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|May 18|18 Mei}}
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/may/18 BBC: On This Day]
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=May&day=18 On this day in Canada]
{{mbegu-historia}}
 
{{DEFAULTSORT:Mei 18}}
[[Jamii:Mei]]