Mwanasheria Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Mwanasheria Mkuu''' ni [[mtaalamu]] wa [[sheria]] mwenye kazi ya kushauri serikali au mahakama katika utelezajiutekelezaji wa jukumumajukumu zaoyake.
 
Nafasi hii inapatikana katika nchi mbalimbali hasa kama zinathiriwazinazothiriwa na haki ya Uingereza yaani katika koloni zake za zamani.
 
Anaweza kuchaguliwa na bunge, na rais au kamati za pekee.
Mstari 8:
Nchini [[Tanzania]] mwanasheria mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza la mawaziri, kazi yake ni kuwa mshauri mkuu wa [[serikali]] katika masuala ya kisheria, kuwakilisha na kutetea serikali [[Mahakama|mahakamani]] au hata kutoa shauri la kisheria kwa [[hakimu|mahakimu]].
 
Mwanasheria mkuu wa Tanzania anateuliwa na [[Rais wa Tanzania|rais]] tu. Anaweza kuwa mbunge kutokana na wahifadhi wake na atashika madalakamadaraka yake mpaka uteuzi wake utakapofutwa na rais au mara tu kabla ya rais mteule kushika madaraka.
 
[[jamii:serikali ya Tanzania]]