Hakimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Hakimu''' ni mtu anayetawala kesi mahakamani akiwa peke yake au akiwa kama sehemu ya [[[[Mahakama|jopo la mahakimu]]]]. Mamlaka, kazi njia ya uteuzi, [[nidhamu]] na mafunzo ya mahakimu yanatofautiana katika mahakama mbalimbali.
 
Hakimu anatakiwa kuendesha [[kesi]] bila kuonyesha upendeleo na katika mahakama ya wazi. Hakimu anasikiliza mashahidi na ushahidi uliowasilishwa na mawakili wa kesi, kisha kutathmini ukweli na hoja za pande mbili tofauti, na kisha anatoa uamuzi juu ya suala hilo kulingana na tafsir yake ya sheria na [[hukumu]] yake binafsi.