Kura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kura''' ni tendo au ya njia ya kundi la watu kuchagua kiongozi wanayemtaka katika uchaguzi.'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Swiss voting material.jpg|thumb|Huko [[Uswisi]], kura zinapigwa mara [[nne]] kwa mwaka: kila [[raia]] analetewa [[Nyumba|nyumbani]] maelezo na vifaa vya kupigia kura.]]
'''Kura''' ni tendo au ya njia ya kawaida kwa kundi la watu kuchagua [[kiongozi]] wanayemtaka katika [[uchaguzi]] au kuchukua maamuzi wanayoona yanafaa.
 
Taratibu za kupiga kura zinaweza kuwa mbalimbali, kwa mfano kuhusu nani apige, nani apigwe kura, kwa namna gani n.k.: mara nyingi ni muhimu itunzwe [[siri]] kuhusu kura iliyotolewa na kila mtu, aweze kuitoa bila [[hofu]] au shuruti kutoka nje.
 
[[Demokrasia]] inapenda chaguzi zifanyike na maamuzi mengi yachukuliwe baada ya mjadala mpana na kura za wengi.
 
Pengine kupiga kura ni [[wajibu]] unaosisitizwa na [[sheria]], lakini mara nyingi zaidi mwenye [[haki]] ya kupiga kura anaweza kuamua asiitumie, tena [[dini]] ndogo chache zinakataza waumini wasipige kura kamwe.
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Voting}}
*[http://americanhistory.si.edu/vote/ A history of voting in the United States] from the [[Smithsonian Institution]].
*[http://dca.tufts.edu/features/aas A New Nation Votes: American Elections Returns 1787-1825]
*[http://www.canivote.org/ Can I Vote?]—a nonpartisan US resource for registering to vote and finding your polling place from the [http://www.nass.org/ National Association of Secretaries of State].
* [http://www.civilization.ca/cmc/exhibitions/hist/elections/el_000_e.shtml The Canadian Museum of Civilization — A History of the Vote in Canada ]
 
{{mbegu-sheria}}
 
[[Category:Sheria]]
[[Category:Siasa]]