Majengo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni.
Waingereza walifuata mpangilio katika miji iliyoundwa nao katika Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu<ref>Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama [https://books.google.com/books?id=riLICQAAQBAJ&pg=PA108&lpg=PA108&dq=colonial+town+planning+africa&source=bl&ots=MsKubd4wnn&sig=yOuoLOkIu5NTtd8VGOuE8lMdUic&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwib9ZuG4PTMAhVlP5oKHYisDKsQ6AEIXzAM#v=onepage&q=colonial%20town%20planning%20africa&f=false Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60], ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294</ref>:
*Uzunguni kama sehemu ya nyumba za Wazungu na kando lake ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama) <ref>"European residential"</ref>
*Uhindini <ref>"Asiatic residential", katika miji midogo pamoja na "Commercial areas for Asiatics"</ref> kama mtaa wa biashara iliyokuwa hasa mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya [[Uhindi ya Kiingereza]], katika miji mikubwa zaidi pia maduka ya wazungu na
*Majengo<ref>"Native locations"</ref> kama sehemu kwa wafanyakazi Waafrika na familia zao.
*Katika miji mikubwa zaidi kulikuwa pia na sehemu ya pekee kwa wafanyakazi Wahindi wa matabaka ya chini<ref>"Locations for Asiatics of the working class"</ref>
 
Mifano ya "majengo" ni wilaya zifuatazo