Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
LUGHA NA HUMUHIMU WAKE
Mstari 5:
Somo la lugha linaitwa [[maarifa ya lugha]] au [[isimu]].
maana ya lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zenye kuleta maana na zilizo kubaliwa na jamii ili zitumike kwa hajili ya mawasiliaono. kila nchi duniani zina tumia lugha kwa hajili ya mawasiliano na biashala.
== Maana ya neno "lugha" ==
Lugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zilizokua katika mpango maalum na zilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike katika [[mawasiliano]].
 
Mara chache neno lugha linatumika kwa taratibu za kuwasiliana za [[mnyama|wanyama]]. Lakini taratibu hizo ni tofauti sana: katika lugha za wanyama, [[sauti]] moja ina maana moja tu. Lakini katika lugha za binadamu, sauti nyingi zinaunganishwa kutengeneza [[Neno|maneno]], na maneno mengi yanaunganishwa kutengeneza [[sentensi]]. Hivyo mnyama ambaye anaweza kutengeneza sauti [[ishirini]] tofauti anaweza "kusema" mambo ishirini tu. Kwa upande mwingine mtu ambaye anaweza kutengeneza sauti ishirini, anaweza kusema mambo zaidi ya [[milioni]].
 
== Tabia za lugha ==