Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Dar es Salaam
Mstari 54:
Eneo la Mkoa wa Morogoro liko katikati ya mikoa ya [[pwani]] ya [[Bahari Hindi]] na [[Nyanda za Juu]].
 
Kuna [[tambarare]] za chini kama [[vile]] [[Ifakara]] / [[Kilombero]], pia milima ya juu kama [[Uluguru]] penye mlima wa Kimhandu wenye 2646 m juu ya [[UB]].
 
Mito mikubwa ni [[Wami]] na [[Ruvu]] inayoanza kwenye milima ya Uluguru. Ruvu ndiyo mto wa kutoa maji ya [[Daressalaam]].
Mstari 68:
 
===Mawasiliano===
[[Barabara Kuu]] za lami za [[Daressalaam|Dar es Salaam]] - Morogoro - [[Mbeya]] - [[Zambia]]/[[Malawi]] na Daressalaam - Morogoro - [[Dodoma]] hupita eneo la mkoa pamoja na [[reli ya kati]] DaresalaamDar es Salaam - Morogoro - Dodoma - [[Kigoma]] / [[Mwanza]]. Reli ya [[TAZARA]] hupita wilaya ya Kilombero.
 
===Uchumi===